Hivi Freeman Mbowe anajisikiaje kuwa Mwenyekiti wa kudumu wa chama chake?

Inakuhusu nini kupe mkubwa
 
Tangu lini Ayatollah au yule wa Vatican huwa wanastaafu wakisha chaguliwa?
 
haondoki mtu hapa machawa nyie
 
we unajisikiaje waziri wa serikali tena wizara nyeti ananunua timu za Mpira kila kukicha
 
Mta teseka sana. Mbowe is there to stay.
Hadi Ccm watoke madarakani. Ndipo Mbowe ata ondoka. Hata Mandela aliendelea kuwa madakani hadi ANC walipo chukua madaraka.
 
Mbona hujauliza kuhusu John Cheyo wa chama Cha UMD, ambaye amekuwa Mwenyekiti wa chama chake, tokea kianzishwe, mwaka 1992??😎

Umebaki kumwandama Mbowe tuuu..........

Tunajua hizi zote ni propaganda za CCM😗
Kwa hiyo mpaka Cdm kife Kama Cha John cheyo
Duh hongereni Kama ndo lengo
 
Hivi na Lipumba,Cheyo,,Mzee wa Upwapwa,na wasiojulikana nao wanajisikaje wajameni!
 
Watu makini wote wameondoka kisa yeye. Amebaki na waganga njaa ambao wanamlamba miguu wapate asali. Huyu jamaa anaihujumu nchi.

Yule jamaa akikamata Dora, mjiandae tu kumtoa kwa greda
 
Duniani hakuna mtu neutral in psychological point of view,acha kujidanganya jombaa

Mfano mimi siwafagilii sisiem. Ila sasa sina kwa kwenda. Nikiwaangalia wote, hakuna wa kumpa nchi.
 
Kwani unaumia sana? Chama ni chako?
 
Watu makini wote wameondoka kisa yeye. Amebaki na waganga njaa ambao wanamlamba miguu wapate asali. Huyu jamaa anaihujumu nchi.
Wafuate hao watu makini walioondoka.
Mfuate Msigwa.....ndo mtu makini kwako.
Otherwise go F yourself.
 
Jiulize kwanza kuhusu taasisi ile ya kijani miaka 60 +wanajisikia. In short wanasikia raha
 
Katiba ya CHADEMA inasemaje kuhusu muda wa Mwenyekiti kushika nafasi hiyo? Au kimesajiliwa kwa Brela?
 

Kwani Cheyo, Dovutwa, Lipumba na Hashim wanajisikiaje mkuu????
 
Mbowe ni kiongozi wetu dikteta na mjinga, akifa mkewake atakuwa mwenyekiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…