Four-Star General
Member
- Nov 18, 2022
- 41
- 115
Wakuu...
Leo maombeni mnijuze, kwanini Captain Mstaafu George Huruma Mkuchika kila Baraza jipya la Mawaziri huwa hakosi.
Ukiangalia umri wake ni kama umeshamtupa mkono, lakini bado anaaminiwa na kila Rais anayekuja madarakani hali ya kuwa vijana wapo na wanaweza kuchapa kazi vizuri tu.
Je tuseme Mkuchika ndio Kingunhe wa zama hizi?