Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umefukua kaburiNdo hivyo
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Wakuu...
Leo maombeni mnijuze, kwanini Captain Mstaafu George Huruma Mkuchika kila Baraza jipya la Mawaziri huwa hakosi.
Ukiangalia umri wake ni kama umeshamtupa mkono, lakini bado anaaminiwa na kila Rais anayekuja madarakani hali ya kuwa vijana wapo na wanaweza kuchapa kazi vizuri tu.
Je tuseme Mkuchika ndio Kingunhe wa zama hizi?
atasemaje kama chama kinakwenda vizuri tu...Huwezi kumfananisha Mkuchika na Kingunge mzee wa Misimamo Mzee Kingunge akiwahi kusema CCM waliyoianzisha na NYERERE sio hii kitu ambacho MKUCHIKA Hawezi kuthubutu kusema
Siasa inahitaji wisdom hata mahakamani wapo wazee makanisani na karibu board nyingi hapa Tanzania ni vitengo vya wazeeWakuu...
Leo maombeni mnijuze, kwanini Captain Mstaafu George Huruma Mkuchika kila Baraza jipya la Mawaziri huwa hakosi.
Ukiangalia umri wake ni kama umeshamtupa mkono, lakini bado anaaminiwa na kila Rais anayekuja madarakani hali ya kuwa vijana wapo na wanaweza kuchapa kazi vizuri tu.
Je tuseme Mkuchika ndio Kingunhe wa zama hizi?
Kuna methali maarufu sana isemayo, "Joka la mdimu hulinda watundao"Wakuu...