Four-Star General
Member
- Nov 18, 2022
- 41
- 115
Wanafiki watupuUkisikia Wenye CCM yao ndio hao
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣😂😂Fitna ZipoAkina Lukuvi na Kalamaganda waliambiwa wazee lakini huyu ni kijana
Acheni kumzushia huyu Mzee amestaafu yuko kwao Kijijini analima MAPARACHICHI!Mwakyusa homeli David anamikoba ya Nyerere mwinyi mkapa jakaya jpm na mama kama hujui
Huwezi kumfananisha Mkuchika na Kingunge mzee wa Misimamo Mzee Kingunge akiwahi kusema CCM waliyoianzisha na NYERERE sio hii kitu ambacho MKUCHIKA Hawezi kuthubutu kusemaWakuu...
Leo maombeni mnijuze, kwanini Captain Mstaafu George Huruma Mkuchika kila Baraza jipya la Mawaziri huwa hakosi.
Ukiangalia umri wake ni kama umeshamtupa mkono, lakini bado anaaminiwa na kila Rais anayekuja madarakani hali ya kuwa vijana wapo na wanaweza kuchapa kazi vizuri tu.
Je tuseme Mkuchika ndio Kingunhe wa zama hizi?