Hivi George Mkuchika ndio Kingunge Ngombare Mwiru wa zama hizi?

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kusini wanajua sn kuloga, huyu babu anatakiwa apumzike lakini unaweza kuta ana mtoto wa miaka 2 sehemu
 
Huwezi kumfananisha Mkuchika na Kingunge mzee wa Misimamo Mzee Kingunge akiwahi kusema CCM waliyoianzisha na NYERERE sio hii kitu ambacho MKUCHIKA Hawezi kuthubutu kusema
atasemaje kama chama kinakwenda vizuri tu...
 
Siasa inahitaji wisdom hata mahakamani wapo wazee makanisani na karibu board nyingi hapa Tanzania ni vitengo vya wazee

Yapo mambo yanahitaji umri mwingi na utulivu wa akili kitu ambacho huwezi kukipata ukiwa kijana au before 70s
 
Kuna methali maarufu sana isemayo, "Joka la mdimu hulinda watundao"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…