mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
umeelewa mada kweli huyu?unaambiwa baba wewe unasema Rihana
Wewe ndio hujaelewa jibu
Unafikiri wangemtaja huyo baba jina lake bila kumtaja Rihanna ingekua habari!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeelewa mada kweli huyu?unaambiwa baba wewe unasema Rihana
si ni ujinga wenu tu ndio unaona hivyo. au huyo baba kagandana na Rihana?Wewe ndio hujaelewa jibu
Unafikiri wangemtaja huyo baba jina lake bila kumtaja Rihanna ingekua habari!?
Aisee...
😂😂😂Huyu mwenzetu haiwezekan kumsagia kunguni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣✔️Binafsi sijaona alipokosea Msigwa
Alichotamka ni kikubwa na cha muhimu kwa kila anayemfahamu Rihanna lakini haifahamu Tanzania
🤣🤣🤣Atakuja na mtaji wake ataajiri watu wachache.lakini ameitaja Zanzibar ambao wengi watataka kujua kuna nini na kuongeza utalii.
Kwa mapozi haya anaweza kweli kuja kuishi Zanzibar.Maza president akiendeleza hivi vijimambo vyake vya kitumwatumwa baada ya muda wasaidizi wake wote watageuka mazombi.
Wakulima tunadharaulika Sana!Huyo Rihanna kweli anasaidia nini wakulima wa Tanzania?
Toka magufuri aondoke,CCM wamerudi kwenye uharisia wao wa kongea ujinga mtupu,sababu hakuna wa kuwakaripia wala kuwauliza
Tangia atolewe pale Ikulu ni kama vile Akili zake zimepungua na kwa hili alilolisema naonda Akili zake sasa ndiyo zinaelekea Ukingoni.
Binafsi sijaona alipokosea Msigwa
Alichotamka ni kikubwa na cha muhimu kwa kila anayemfahamu Rihanna lakini haifahamu Tanzania
Kwani mkuu unadhani ni watu wangapi watataka kujua Zanzibar kuna nini!?Msikilize hapa huyu Mkuu wa kitengo cha Maelezo. Anajitambua kweli?
[emoji116]
View attachment 2204297
Mi katiba mpyanitaiunga mkono pale tu itakapotaja kuwa hakuna uenyekiti wa maisha kwenye chamaMtashangaa sana ila katiba mpya iko wazi ni lazima hawa wateule wanaoteuliwa bila merits zozote lazima wawe hivyo.
Huyo baba yake hana credit yoyote huko US. Kwanza mwanae Rihanna alimfungulia kesi ya utapeli. Ni tapeli kabisa huyo, na nikashangaa raisi kupiga nae picha bila kujua huyo mzee ni tapeli na hana credibility yoyoteWewe ndio hujaelewa jibu
Unafikiri wangemtaja huyo baba jina lake bila kumtaja Rihanna ingekua habari!?
Msigwa ni mkwe wa Magufuli?Ni mkwe wa mwendazake ni yeye amebakia huko mbele.
Huyo baba Rihanna ana shida gani atoke marekani aje kuishi hapo zanzibar.
Ilikuwa changamsha genge tu