Hivi Godwin Gondwe alikuwa 'pedeshee' hapo nyuma?

Hivi Godwin Gondwe alikuwa 'pedeshee' hapo nyuma?

Reptilia

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2018
Posts
867
Reaction score
847
Wakuu hivi yule Godwin Gondwe Mkuu wa Wilaya ya Handeni alikuwa pedeshee hapo nyuma kabla ya kuwa DC? Nimemskia kwenye kibao cha Papii Kocha na Mzee Viking kiitwacho Seya.
 
Wakuu hivi yule Godwin gondwe mkuu wa wilaya moja hivi pale Tanga (siijui jina) alikuw pedeshee hapo nyuma kabla ya kuwa mkuu wa wilaya..?nimemskia kwenye kibao cha papii kocha na mze viking kiitwacho seya
Hapana....
 
Alikuwa mtangazaji maarufu sana kipindi hicho so wasanii wengi walikuwa wanawarusha ktk nyimbo zao ili kupata airtime.
...halafu ni ndugu kwa mbali..kama sijakosea Seya alioa shangazi wa Gondwe,
 
Wakuu hivi yule Godwin Gondwe Mkuu wa Wilaya ya Handeni alikuwa pedeshee hapo nyuma kabla ya kuwa DC? Nimemskia kwenye kibao cha Papii Kocha na Mzee Viking kiitwacho Seya.

Wapiiii, alikuwa mpiga punyeto tu wa kitaa.
 
Wakuu hivi yule Godwin Gondwe Mkuu wa Wilaya ya Handeni alikuwa pedeshee hapo nyuma kabla ya kuwa DC? Nimemskia kwenye kibao cha Papii Kocha na Mzee Viking kiitwacho Seya.
Sikiliza wimbo wa Bushoke "Dunia njia" kuna sehemu mwishoni mwishoni kanitaja sana but mi wala sio pedezyee ni mwana tu wa kitaa
 
Back
Top Bottom