Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana....Wakuu hivi yule Godwin gondwe mkuu wa wilaya moja hivi pale Tanga (siijui jina) alikuw pedeshee hapo nyuma kabla ya kuwa mkuu wa wilaya..?nimemskia kwenye kibao cha papii kocha na mze viking kiitwacho seya
Alikuwa mtangazaji maarufu sana kipindi hicho so wasanii wengi walikuwa wanawarusha ktk nyimbo zao ili kupata airtime.Wakuu hivi yule Godwin Gondwe Mkuu wa Wilaya ya Handeni alikuwa pedeshee hapo nyuma kabla ya kuwa DC? Nimemskia kwenye kibao cha Papii Kocha na Mzee Viking kiitwacho Seya.
Kabla ya Radio One alikuwa Radio Free AfrikaAlikuwa mtangazaji redio one
Ova
Ooh ok utangazaji mpk udc si mchezoKabla ya Radio One alikuwa Radio Free Afrika
Na huko ndiko alikopatia umaarufu.Kabla ya Radio One alikuwa Radio Free Afrika
Ni kweli kabisa mkuu huko ndiko nyota yake ya utangazaji uliko ng'araNa huko ndiko alikopatia umaarufu.
Double G akiitwa kama nicknameKabla ya Radio One alikuwa Radio Free Afrika
Double G nimeanza kumjua tangia akiwa Radio Free Africa.Double G akiitwa kama nickname
Hata Dudu baya wakati anatoa wimbo wa Penzi Bila fikra alikuwa anaitwa "Double G".Double G akiitwa kama nickname
haswaaHivi kumbe mapedeshzee tu ndio hutajwa kwenye nyimbo?
Yes mkuuDouble G akiitwa kama nickname
...halafu ni ndugu kwa mbali..kama sijakosea Seya alioa shangazi wa Gondwe,Alikuwa mtangazaji maarufu sana kipindi hicho so wasanii wengi walikuwa wanawarusha ktk nyimbo zao ili kupata airtime.
Wakuu hivi yule Godwin Gondwe Mkuu wa Wilaya ya Handeni alikuwa pedeshee hapo nyuma kabla ya kuwa DC? Nimemskia kwenye kibao cha Papii Kocha na Mzee Viking kiitwacho Seya.
Sikiliza wimbo wa Bushoke "Dunia njia" kuna sehemu mwishoni mwishoni kanitaja sana but mi wala sio pedezyee ni mwana tu wa kitaaWakuu hivi yule Godwin Gondwe Mkuu wa Wilaya ya Handeni alikuwa pedeshee hapo nyuma kabla ya kuwa DC? Nimemskia kwenye kibao cha Papii Kocha na Mzee Viking kiitwacho Seya.