Hivi GPA ya Diploma inaishia ngapi?

Mkuu umeogopa kukitaja chuo husika [emoji849].
 
University Computer Center Prospectus_2018-2019.docx inasema:
A candidate’s final standing in Diploma in Computing and Information Technology shall be determined by the GPA for all four semesters of the study. Sasa ukweli ni upi wanafuata GPA ya 4 semeters au semester 5 na 6 tu?
 
Mkuu

Naomba unieleweshe hy ishu

Mm nmemaliza udom diploma
Mwaka wa kwanza nlkuwa nna 2.8 mwaka wa mwisho nikapata 4.2

Sa hapo kwenye chet cha diploma ntakuwa na jumla ya GPA ngap.?
 
Mkuu

Naomba unieleweshe hy ishu

Mm nmemaliza udom diploma
Mwaka wa kwanza nlkuwa nna 2.8 mwaka wa mwisho nikapata 4.2

Sa hapo kwenye chet cha diploma ntakuwa na jumla ya GPA ngap.?
Hapo una vyeti viwili
NTA level 5
NTA level 6

Kila kimoja kina GPA yake

Ila hicho cha level 6 ndiyo kitakusaidia kuomba degree.
 
Habari za leo wakuu,

Nahitaji kujua GPA ya diploma inaishia ngapi? Maana najua ya Bachelor inaishia 5.

Napia mtu anaye pata GPA ya 2. 6 kwa Diploma uwezo wake ukoje?
Grade Points Average GPA za chuo kwa ngazi ya diploma ipo hivi:

Kwa NTA Level 4 Overall GPA yake hua inaishia nne yaani tunasema kama ni marks za shuleni ni chini ya 100% namaanisha ya kwamba GPA ya level 4 inaishia 4 ambayo ndo kubwa so hii Level4 haina tatizo sana cha muhimu ni kupata pass ili iweze kukusaidia kuingia NTA Level5

means ukikosa GPA ya kuanzia 2 kuendelea mbele kwa baadhi ya vyuo sana sana vya afya kwa kutokea level4 hapo utakua huna uwezo wa kuendelea na NTA Level5.

Kwa NTA LEVEL5 hapa GPA inakua si chini ya 4 kama Level4 tena hapa overall ya GPA ni 5.

Kwa NTA Level6 hapa pia ni mwendo ule ule wa 5 ila hakikisha kuanzia semester 1 na 2 zote unakomaa kupata GPA ya 3.5+ kwa maana ya kwamba mwaka wa mwisho wa masomo ya diploma ndo hua mwaka wa ku calculate the GPA so hua wanachukua GPA ya semester 1 level 6 na semester 2 level 6 then wana devide by 2 ili kupata the actual GPA

ndo maana unashauriwa kwa mwaka wa mwisho wa diploma jitahidi kila semester upate GPA kuanzia 3.5+ ili ikupe opportunity ya kupata GPA ya kwenda degree
 
Habari za leo wakuu,

Nahitaji kujua GPA ya diploma inaishia ngapi? Maana najua ya Bachelor inaishia 5.

Napia mtu anaye pata GPA ya 2. 6 kwa Diploma uwezo wake ukoje?
Mwanafunzi wetu ameishia vp kwenye elimu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…