1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Mkuu umeogopa kukitaja chuo husika [emoji849].Mkuu hebu nisaidie. Hivi kwa nini NACTE wana GPA ya base ya 4 na ile ya Base ya 5-kwangu mimi hii inaleta makanganyiko. Nimeona chuo kimoja ukisoma regulations zao wanatumia base ya 4 kwa certificate lakini matokeo yanaonyesha mtu kapata zaidi ya 4. Ingekuwa rahisi kuona progress ya mtu kama certificate nayo ingekuwa na base ya 5 na diploma hiyo hiyo base ya 5.
Lapili kuna diploma za miaka 3 na za miaka 2, je GPA zao zinatokana na miaka ipi?