Hivi GPA ya Diploma inaishia ngapi?

Hivi GPA ya Diploma inaishia ngapi?

Mkuu hebu nisaidie. Hivi kwa nini NACTE wana GPA ya base ya 4 na ile ya Base ya 5-kwangu mimi hii inaleta makanganyiko. Nimeona chuo kimoja ukisoma regulations zao wanatumia base ya 4 kwa certificate lakini matokeo yanaonyesha mtu kapata zaidi ya 4. Ingekuwa rahisi kuona progress ya mtu kama certificate nayo ingekuwa na base ya 5 na diploma hiyo hiyo base ya 5.

Lapili kuna diploma za miaka 3 na za miaka 2, je GPA zao zinatokana na miaka ipi?
Mkuu umeogopa kukitaja chuo husika [emoji849].
 
Mwaka wa kwanza diploma ni NTA level 5 hii GPA yake haikupeleki Degree hata uwe na GPA ya 4

Mwaka wa pili ndio inabidi ukaze kwelikweli upate GPA ya 3.0 na kuendelea hadi 5 hii inaitwa NTA level 6 ndio ina sifa ya kwenda degree.

Hujachelewa kijana pambana
University Computer Center Prospectus_2018-2019.docx inasema:
A candidate’s final standing in Diploma in Computing and Information Technology shall be determined by the GPA for all four semesters of the study. Sasa ukweli ni upi wanafuata GPA ya 4 semeters au semester 5 na 6 tu?
 
Mwaka wa kwanza diploma ni NTA level 5 hii GPA yake haikupeleki Degree hata uwe na GPA ya 4

Mwaka wa pili ndio inabidi ukaze kwelikweli upate GPA ya 3.0 na kuendelea hadi 5 hii inaitwa NTA level 6 ndio ina sifa ya kwenda degree.

Hujachelewa kijana pambana
Mkuu

Naomba unieleweshe hy ishu

Mm nmemaliza udom diploma
Mwaka wa kwanza nlkuwa nna 2.8 mwaka wa mwisho nikapata 4.2

Sa hapo kwenye chet cha diploma ntakuwa na jumla ya GPA ngap.?
 
Mkuu

Naomba unieleweshe hy ishu

Mm nmemaliza udom diploma
Mwaka wa kwanza nlkuwa nna 2.8 mwaka wa mwisho nikapata 4.2

Sa hapo kwenye chet cha diploma ntakuwa na jumla ya GPA ngap.?
Hapo una vyeti viwili
NTA level 5
NTA level 6

Kila kimoja kina GPA yake

Ila hicho cha level 6 ndiyo kitakusaidia kuomba degree.
 
Habari za leo wakuu,

Nahitaji kujua GPA ya diploma inaishia ngapi? Maana najua ya Bachelor inaishia 5.

Napia mtu anaye pata GPA ya 2. 6 kwa Diploma uwezo wake ukoje?
Grade Points Average GPA za chuo kwa ngazi ya diploma ipo hivi:

Kwa NTA Level 4 Overall GPA yake hua inaishia nne yaani tunasema kama ni marks za shuleni ni chini ya 100% namaanisha ya kwamba GPA ya level 4 inaishia 4 ambayo ndo kubwa so hii Level4 haina tatizo sana cha muhimu ni kupata pass ili iweze kukusaidia kuingia NTA Level5

means ukikosa GPA ya kuanzia 2 kuendelea mbele kwa baadhi ya vyuo sana sana vya afya kwa kutokea level4 hapo utakua huna uwezo wa kuendelea na NTA Level5.

Kwa NTA LEVEL5 hapa GPA inakua si chini ya 4 kama Level4 tena hapa overall ya GPA ni 5.

Kwa NTA Level6 hapa pia ni mwendo ule ule wa 5 ila hakikisha kuanzia semester 1 na 2 zote unakomaa kupata GPA ya 3.5+ kwa maana ya kwamba mwaka wa mwisho wa masomo ya diploma ndo hua mwaka wa ku calculate the GPA so hua wanachukua GPA ya semester 1 level 6 na semester 2 level 6 then wana devide by 2 ili kupata the actual GPA

ndo maana unashauriwa kwa mwaka wa mwisho wa diploma jitahidi kila semester upate GPA kuanzia 3.5+ ili ikupe opportunity ya kupata GPA ya kwenda degree
 
Habari za leo wakuu,

Nahitaji kujua GPA ya diploma inaishia ngapi? Maana najua ya Bachelor inaishia 5.

Napia mtu anaye pata GPA ya 2. 6 kwa Diploma uwezo wake ukoje?
Mwanafunzi wetu ameishia vp kwenye elimu yake
 
Swali zuri hivi ostabey ni katavi
downloadfile.jpg
 
Back
Top Bottom