Hivi green guard ni jeshi usu? Kwanini mnapigia saluti Makonda na kuvunja sheria za nchi?

Hivi green guard ni jeshi usu? Kwanini mnapigia saluti Makonda na kuvunja sheria za nchi?

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Eti mnapiga saluti kama askari wa majeshi yetu.

Acheni uduanzi wa kuvunja sheria za nchi.

Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa inazuia kuunda vikundi kama green guard.

image_search_1699688343084.jpg
 
Mwaka Huu Uishe Sasa Umetuchelewesha Sana Sana
 
Bashite anapebenda sana utukufu ipo siku atajiita mungu
 
Back
Top Bottom