Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Eti mnapiga saluti kama askari wa majeshi yetu.
Acheni uduanzi wa kuvunja sheria za nchi.
Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa inazuia kuunda vikundi kama green guard.
View attachment 2810333
Majangiri Tu Hayo Ya CcmGreen guard si jeshi usu. hawatambuliki na nchi wala hamna sheria inayo watambua
Take it kama KK security lakin ndani ya chama
Makomandoo πππWale walinzi wa mbowe huwa hawampi salute mbowe?
Mfumo wa uendeshaji wa vikundi hivi vya ulinzi ndani ya CCM unafanana na wa kundi lolote lile la kigaidi kama vile ilivyo HAMAS.Eti mnapiga saluti kama askari wa majeshi yetu.
Acheni uduanzi wa kuvunja sheria za nchi.
Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa inazuia kuunda vikundi kama green guard.
View attachment 2810333
Na wataku- mdude soonMfumo wa uendeshaji wa vikundi hivi vya ulinzi ndani ya CCM unafanana na wa kundi lolote lile la kigaidi kama vile ilivyo HAMAS.
Nani wa kulemea ? Geshi ..na polisi hawataki kabisa kusigana na chama.....wanawaangalia tuuu......chama kimeshika hatamuEti mnapiga saluti kama askari wa majeshi yetu.
Acheni uduanzi wa kuvunja sheria za nchi.
Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa inazuia kuunda vikundi kama green guard.
View attachment 2810333
Umenyimwa posho mbona unawashambulia wenzakoEti mnapiga saluti kama askari wa majeshi yetu.
Acheni uduanzi wa kuvunja sheria za nchi.
Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa inazuia kuunda vikundi kama green guard.
View attachment 2810333