Hivi haiwezekan tukawekeza na hospitali, shule na barabara zote tuwape DP World?

Hivi haiwezekan tukawekeza na hospitali, shule na barabara zote tuwape DP World?

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
744
Reaction score
1,621
Kama mpaka leo hatuwezi kuwalipa walimu vizuri, mwalimu akishaajirwa huo huo mshahara wake ndio ale, avae, alipe Kodi ya nyumba, asomeshe watoto n.k. Tumeshindwa angalau hata Kila shule kuwa na nyumba za walimu!

Leo hii hospitali za Wilaya unakuta sometimes hata Panadol hamna, tena usiombe uwe unatumia NHIF ndio utakula misele mpaka basi,

Haya barabara kibao ni mbovu nyingi hazina lami,
Hata zile zinazounganisha Wilaya
Mfano HANDENI - KILINDI - GAIRO..

Hapo sijagusa tanesco Ile zima waka, zima waka,

Mi naona kama DP word wanaweza kukubali
Tuwauzie na hizi pia...
 
Wapewe vyote! Jaman DP world wapewe maua yao!! Wame win!!!
 
Kwani tukiwapa na bunge letu kabisa ni kiasi gani 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom