Hivi haiwezekani dunia nzima tukaungana tukaivamia North Korea kupitia UN na kumtoa Kim Jong Un madarakani?

Kim abamiwe kwani ameikosea nini dunia? Among the best country duniani ni North Korea
 
Badala ya kusema na kuomba Mungu nguvu za kuiteketeza USA na washirika wake wewe unamshikilia N.korea.
Huwenda kichwa chako kina matatizo ya kifikra.
*USA imeharibu Bikini Islands kwa kufanya majaribio ya biological weapons.
*USA imeharibu amani Afrika Kaskazini,Mashariki ya Kati na Asian Pacific.
*USA ametawala mataifa mengi kikoloni mambo leo kwa mwamvuli wa UN.
*USA anefadhili mapinduzi ya serikali nyingi ambapo hayo mapinduzi yameleta maafa katika hizo nchi mathalan Iraq, Libya,Egypt, Afghanistan n.k n.k.
*USA anaingilia sovereignty za mataifa ya watu yakienda kinyume na maslahi yake na kuyawekea vikwazo vya kiuchumi na kuyaharibia uchumi mathalan Cuba,Venezuela,Iran,Russia.
*USA inalazimisha agenda ya ushoga na uasherati kama sehemu ya haki za binadamu kwa mwamvuli wa misaada ya UN.

Ifikie hatua muamke kiakili na akili ikae sawa mufikirie kwa utuo.
NINGEOMBA UNILETEE GLOBAL NEGATIVE IMPACTS ZA NORTH KOREA AMBAZO ZINAKUFANYA UTAKE IVAMIWE NA UTAWALA WAKE UONDOLEWE??
NASUBIRI JIBU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…