Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Mimi Tena mkuu? Ebu nisome vzrUnapata madhara gani kwa wakorea kukosa uhuru wa kisiasa .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi Tena mkuu? Ebu nisome vzrUnapata madhara gani kwa wakorea kukosa uhuru wa kisiasa .
wapi?Kakukosea nini?
Ili ?Kwa hizi akili za Kim Jong Un na namna ambavyo anahangaika kutafuta vita na the Western world ni dhahir kuwa nchi imemshinda na tusipokaa vizuri mjinga huyu atatupeleka kwenye WWIII
Kwanza Kim ndo anaongoza kwa kuwa na hostages wengi zaidi in the world kwani anaongoza watu Milioni 26 ambao hawana uhuru wa kufanya chochote.
Kim ni Psycho. Hivi kwanini UN Security Council isikae chini ikavote kumtoa huyu maniac madarakani?
Ikafanyika coup flani hivi ya kibabe ikiongozwa na Western countries ili North Korea iwe huru?
Au ipitishwe UN resolution tu kuamua kwamba dunia nzima tunaunda jeshi la kumtoa Kim madarakani?
Kama ni nyuklia hata US anazo. Nini kinasababisha tusiweze kumdhibiti huyu kiumbe?
Hizi ni baadhi ya headlines zinaoonesha jinsi Kim anavyotafuta vita ya tatu ya dunia kwa nguvu.
Ameshiba donaUzi wa kifala sana
Do wabongo sijjui tuna kwaa wapi vichwa vyetu vyemejaa minyoo ...marekani akisema nchi fulani ni exis of evil na sisi tunameza kama lilivyo axis of evil ... nchi ipo huko inajiendeshea maisha yake unaiita axis of evil kwa kuwa us imesema hivyoThe Axis Of Evil. Wote hao wanatakiwa wang'olewe!
Kwa hizi akili za Kim Jong Un na namna ambavyo anahangaika kutafuta vita na the Western world ni dhahir kuwa nchi imemshinda na tusipokaa vizuri mjinga huyu atatupeleka kwenye WWIII
Kwanza Kim ndo anaongoza kwa kuwa na hostages wengi zaidi in the world kwani anaongoza watu Milioni 26 ambao hawana uhuru wa kufanya chochote.
Kim ni Psycho. Hivi kwanini UN Security Council isikae chini ikavote kumtoa huyu maniac madarakani?
Ikafanyika coup flani hivi ya kibabe ikiongozwa na Western countries ili North Korea iwe huru?
Au ipitishwe UN resolution tu kuamua kwamba dunia nzima tunaunda jeshi la kumtoa Kim madarakani?
Kama ni nyuklia hata US anazo. Nini kinasababisha tusiweze kumdhibiti huyu kiumbe?
Hizi ni baadhi ya headlines zinaoonesha jinsi Kim anavyotafuta vita ya tatu ya dunia kwa nguvu.
Waafrika sijui alieturoga Ni nani,
Hivi Ni lini tutaacha kulamba miguu ya mabeberu?
Yaani mabaya yote walotufanyia kipind Cha ukoloni, Bado TU Kuna Watu HAMJITAMBUI?
MTOA MADA UNGEKUA KARIBU NINGEKUTWANGA KWENZI
Jews na Hebrews sina tatizo nao kabisa. Mimi na mazayuni tu.Unavyowapiga spana Jews humu jukwaani na kauwaita Mazayuni huwa wamekukosea nini directly?
Ni mtizamo TU, don't take it too personal😊I dont take advice kutoka kwa watu wanaocheat wanawake zao then wanakuja kuringishia humu jukwaani kwenye mamilioni ya watu.
Thanks!
Ukisoma huelewi basi hata picha huoni?Wamekukosea nini hao mazayuni?
Hoja ya ajabu sana hii ni lazima kusherehekea krismass,je kama enjili haikufuka huko wao wataiajuaje krismass?Kuzaliwa North Korea ni aheri kuzaliwa ndani ya jela kwa nchi za Magharibi.
Wananchi wa North Korea wamezuiwa kusherehekea hata Christmas eti ni sherehe ya kimagharibu, badala yake wanatakiwa kusherehekea siku aliyozaliwa bibi yake Kim. Jong Un.
North Korea ukipatikana na biblia, au mkakusanyika kusali, adhabu ni jela miaka 15.
Kama umezaliwa Korea kaskazini ni marufuku kutoka nje ya nchi.
North Korea ukipatikana umevaa jeans au nguo yoyote inayotafsiriwa ni ya kimagharibi, adhabu ni jela.
Ukinunua TV lazima uipeleke polisi ikaandikishwe na ikawe tuned kwa station ya North Korea.
North Korea, hakuna anayeruhusiwakutumia internet.
Hayo ni machache, yanayoshangaza.
UMEMSHINDWA MAFWELE NDO UJE UMUWEZE HUYU?Kwa hizi akili za Kim Jong Un na namna ambavyo anahangaika kutafuta vita na the Western world ni dhahir kuwa nchi imemshinda na tusipokaa vizuri mjinga huyu atatupeleka kwenye WWIII
Kwanza Kim ndo anaongoza kwa kuwa na hostages wengi zaidi in the world kwani anaongoza watu Milioni 26 ambao hawana uhuru wa kufanya chochote.
Kim ni Psycho. Hivi kwanini UN Security Council isikae chini ikavote kumtoa huyu maniac madarakani?
Ikafanyika coup flani hivi ya kibabe ikiongozwa na Western countries ili North Korea iwe huru?
Au ipitishwe UN resolution tu kuamua kwamba dunia nzima tunaunda jeshi la kumtoa Kim madarakani?
Kama ni nyuklia hata US anazo. Nini kinasababisha tusiweze kumdhibiti huyu kiumbe?
Hizi ni baadhi ya headlines zinaoonesha jinsi Kim anavyotafuta vita ya tatu ya dunia kwa nguvu.
Apambane na yalio kwenye uwezo na wigo wake! Kashindwa hata kumwondoa mwanae kikojozi nyumbani,haya ya wenye mataifa yao atayawezea wapiMumvamie mtu ambaye anaongoza taifa lake kwa utashi wake? Are you mad! Lile ni taifa huru mwacheni afanye anachotaka kumvamia ndio kutafta majanga sababu yule kurusha nuclear hajiulizi mara mbili