Hivi haiwezekani dunia nzima tukaungana tukaivamia North Korea kupitia UN na kumtoa Kim Jong Un madarakani?

Kuivamia Iraq,hizi nchi tajwa hazikuruhusu mbona ilivamiwa hapo je?!!
 
Mumvamie mtu ambaye anaongoza taifa lake kwa utashi wake? Are you mad! Lile ni taifa huru mwacheni afanye anachotaka kumvamia ndio kutafta majanga sababu yule kurusha nuclear hajiulizi mara mbili
Korea Kaskazini sio taifa la Kiduku Kim, pia Korea Kaskazini sio taifa huru, ni mateka wa wa familia ya Kim.
 
The Matrix system imetawala kichwa chako kiasi kwamba unajiona ni mjanja na unajiona umemaliza kila kitu, bure kabisa wewe.
 
china na russia lazima wata veto hiyo resolution haitapita
 
Wewe mbona ni hostage wa madhehebu ya dini...jikombowe kanza na hayo madhehebu ndiyo uweze kuona vema kukitoa kibanzi ndani ya jicho la mwenzio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…