Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Mi sioni tatizo kwa kweli kuwapa hao jamaa wa Dubai Bandari. Ni kama tumechelewa kidogo ilitakiwa kufanya hivi toka mwaka 2020.
Nyie watu acheni nyie. Msidhani kuendesha nchi ni kitu rahisi... Acheni kabisa. Yaani naangalia namwona Rais anateseka kweli. Najiuliza hawezi kweli hata kuangalia kama anaweza iuza na nchi nayo iwe inaongozwa na watu wenye uwezo?
Hili nalo likaangaliwe nchi ishakuwa ngumu hii. Iuzwe tu wapewe watu wenye uwezo wa kuongoza. Mimi race yao sijali la msingi tu wawe na uwezo faida zipo nyingi kama za kuwapa wawekezaji wa Bandari.
Lakini kama wakiweza pata mtu anapesa nzuri akanunua nchi yote halafu wakampa kila mtanzania pesa yake akafie mbele ingekuwa nzuri zaidi. Watu tukajiangalie kivingine. Mimi natamani sana niende Rwanda kule kuna madem wakali sana. Nikikabidhiwa pesa yangu naenda omba uraia kule. Ingawa Mwigulu nadhani alihongwa kipindi kile anatutaka tuende Burundi. Burundi hakuna watoto wakali kama Ruanda.