Hivi haiwezekani kufanya msako wa nyumba kwa nyumba, chaka kwa chaka kuwatafuta waliopotea?

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
3,809
Reaction score
6,948
Embu tusaidiane kidogo katika hili wazo.

Kutokana na idadi ya wanaopotea kuongezeka, na wenye mamlaka kuonekana kama suala hili lipo nje ya uwezo wao kulitatua na kulikabili, kwa nini jamii isiamue yenyewe kuchukua uamuzi wa kuanza kuwatafuta wote waliopotea?

Zoezi hili liende nchi nzima, nyumba kwa nyumba, ofisi kwa ofisi, kijiji kwa kijiji, mtaa kwa mtaa, chaka kwa chaka. Hakuna jengo au mahali ambapo paachwe katika zoezi hili. Tuwatafute hadi uvunguni mwa vitanda.

Zoezi hili linaweza kuwa endelevu. Kila mtu akiripotiwa kupotea tu, zoezi linaanza upya mara moja.

Maisha yamebadilika na sisi tubadilike. Tuvisaidie vyombo vya usalama na ulinzi katika hili maana naona vimeelemewa na majukumu. Usalama wa Watanzania upo mikononi mwa Watanzania wenyewe na hii itakuwa sehemu ya raia kusaidia katika majukumu hayo.
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Ulinzi wetu ni jukumu letu sote
sawa lakini kuwasaka waliopotea ktk mazingira ya kutatanisha si jukumu letu,tuviachie vyombo vyenye mamlaka ya ulinzi wa raia na mali zao vifanye kazi zake kwa ajili yetu,sisi tuendelee kunywa pombe na kutembelea kumbi za starehe kwa kuangalia pisi kali.
 
Hapana mkuu, tusijenge jamii ya kibinafsi kiasi hicho. Hata hivyo vyombo vinaundwa na wananchi, kwa hiyo hakuna ubaya wananchi kuwasaidia. Bila kushirikiana na jamii, hata hivyo vyombo haviwezi kufanya kazi zake.

Kuwatafuta waliopotea halijawahi kuwa jukumu la vyombo pekee, ndiyo maana ndugu na jamaa huwa wanatangaza kwenye vyombo vya habari wasaidiwe kuwatafuta ndugu zao.
 
sawa lakini kuwasaka waliopotea ktk mazingira ya kutatanisha si jukumu letu,tuviachie vyombo vyenye mamlaka ya ulinzi wa raia na mali zao vifanye kazi zake kwa ajili yetu,sisi tuendelee kunywa pombe na kutembelea kumbi za starehe kwa kuangalia pisi kali.
Vyombo vya ulinzi au genge la wahuni
 
Embu tusaidiane kidogo katika hili wazo.

Kutokana na idadi ya wanaopotea kuongezeka, na wenye mamlaka kuonekana kama suala hili lipo nje ya uwezo wao kulitatua na kulikabili, kwa nini jamii isiamue yenyewe kuchukua uamuzi wa kuanza kuwatafuta wote waliopotea?

Zoezi hili liende nchi nzima, nyumba kwa nyumba, ofisi kwa ofisi, kijiji kwa kijiji, mtaa kwa mtaa, chaka kwa chaka. Hakuna jengo au mahali ambapo paachwe katika zoezi hili. Tuwatafute hadi uvunguni mwa vitanda.

Zoezi hili linaweza kuwa endelevu. Kila mtu akiripotiwa kupotea tu, zoezi linaanza upya mara moja.

Maisha yamebadilika na sisi tubadilike. Tuvisaidie vyombo vya usalama na ulinzi katika hili maana naona vimeelemewa na majukumu. Usalama wa Watanzania upo mikononi mwa Watanzania wenyewe na hii itakuwa sehemu ya raia kusaidia katika majukumu hayo.
Ina maana we hujui anayeteka watu? Kama jibu ni ndio jipige mara 3 kifuani sema mimi ni pwiiii kabisaa
 
Katavi's spotted Hyna droppings tukizichukua kwenda kupima dna tutazikuta za waliopotea ni kujua tu tarehe za waliopotea.

Mamba wa rufiji pia nadhani slow yuko huko.
 
Ina maana we hujui anayeteka watu? Kama jibu ni ndio jipige mara 3 kifuani sema mimi ni pwiiii kabisaa
Ni wazi kupiga tu kelele imeonekana siyo suluhisho la kuwapata waliopotea au kuzuia vitendo hivyo visiendelee.

Jiulize jamii imefanya nini cha ziada kuwapata waliopotea? Mimi nimekuja na suluhisho mojawapo.
 
Embu tusaidiane kidogo katika hili wazo.

Kutokana na idadi ya wanaopotea kuongezeka, na wenye mamlaka kuonekana kama suala hili lipo nje ya uwezo wao kulitatua na kulikabili, kwa nini jamii isiamue yenyewe kuchukua uamuzi wa kuanza kuwatafuta wote waliopotea?

Zoezi hili liende nchi nzima, nyumba kwa nyumba, ofisi kwa ofisi, kijiji kwa kijiji, mtaa kwa mtaa, chaka kwa chaka. Hakuna jengo au mahali ambapo paachwe katika zoezi hili. Tuwatafute hadi uvunguni mwa vitanda.

Zoezi hili linaweza kuwa endelevu. Kila mtu akiripotiwa kupotea tu, zoezi linaanza upya mara moja.

Maisha yamebadilika na sisi tubadilike. Tuvisaidie vyombo vya usalama na ulinzi katika hili maana naona vimeelemewa na majukumu. Usalama wa Watanzania upo mikononi mwa Watanzania wenyewe na hii itakuwa sehemu ya raia kusaidia katika majukumu hayo.
Utanaka kujichukulia sheria mkononi, hii ni kazi yetu geshi ra porishi!!
 
Hayo anaweza Israel pekee
Israel wanajali sana raia wao. Hata raia wao mmoja tu akipotea au akitekwa, nchi nzima inaona ina jukumu la kumsaka. Hadi makomandoo wanapewa kazi ya kwenda kumuokoa.
 
Embu tusaidiane kidogo katika hili wazo.

Kutokana na idadi ya wanaopotea kuongezeka, na wenye mamlaka kuonekana kama suala hili lipo nje ya uwezo wao kulitatua na kulikabili, kwa nini jamii isiamue yenyewe kuchukua uamuzi wa kuanza kuwatafuta wote waliopotea?

Zoezi hili liende nchi nzima, nyumba kwa nyumba, ofisi kwa ofisi, kijiji kwa kijiji, mtaa kwa mtaa, chaka kwa chaka. Hakuna jengo au mahali ambapo paachwe katika zoezi hili. Tuwatafute hadi uvunguni mwa vitanda.

Zoezi hili linaweza kuwa endelevu. Kila mtu akiripotiwa kupotea tu, zoezi linaanza upya mara moja.

Maisha yamebadilika na sisi tubadilike. Tuvisaidie vyombo vya usalama na ulinzi katika hili maana naona vimeelemewa na majukumu. Usalama wa Watanzania upo mikononi mwa Watanzania wenyewe na hii itakuwa sehemu ya raia kusaidia katika majukumu hayo.
Inawezekana wapo nyumbani kwa Samia, Abdul, Mombo, Rostam. Wanawatesa kwa mateso ya kila aina kila asubuhi, mchana, jioni na usiku. Nyumba zao zikilindwa na polisi, jeshi, usalama.

Tupe mbinu za kuwatoa, kuwakomboa mikononi ya hawa watekaji.
 
Hiyo haiwezekani hata kidogo, yaani hata kidogo haiwezekani. Hapo utaibua Tatizo lingine...
 
Back
Top Bottom