kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
We inakuhusu nini?Mimi namuona kwenye mitandao ya kijanii kutwa ni kujimwambafai tu kuwa anamiliki pisi kali,mara wako wanafuturu kwenye mahotel makubwa.lkn kiukweli huyu jamaa sijui anafanya shughuli gani ya kumpatia pesa za kula bata namna hiyo.
Mwenye kujua anijuze tafadhali.
Acha kudanganya watu mkuu ... Tsh mil 180k??Youtube peke yake hakosi 70000$ kwa mwezi
Aliwazalo Mjinga Ndilo Litakalo Mtokea,Take care utapotea .
sasa nidanganye kwanini mkuu wakati takwimu zipo waziAcha kudanganya watu mkuu ... Tsh mil 180k??
Hicho kiasi ni pesa nyingi sana Haina ukweli wowotesasa nidanganye kwanini mkuu wakati takwimu zipo wazi
Sio tabia ya wanaume hiiMimi namuona kwenye mitandao ya kijanii kutwa ni kujimwambafai tu kuwa anamiliki pisi kali,mara wako wanafuturu kwenye mahotel makubwa.lkn kiukweli huyu jamaa sijui anafanya shughuli gani ya kumpatia pesa za kula bata namna hiyo.
Mwenye kujua anijuze tafadhali.
Yaani unamaanisha Tsh. milioni 170 kwa mwezi?Youtube peke yake hakosi 70000$ kwa mwezi
Sawa mkuu. Hela haijawahi kuwa chache wala nyingi. Inategemea na limit ya kipato chako.Hicho kiasi ni pesa nyingi sana Haina ukweli wowote
Haji manara hawezi tengeneza mil 180 kwa mwezi hivi hiyo hela unaichukuliaje?Sawa mkuu. Hela haijawahi kuwa chache wala nyingi. Inategemea na limit ya kipato chako.
estimation nimeifanya kutokana na Youtube channel yake nimefanya. Mengine labda umuulize yeye .Haji manara hawezi tengeneza mil 180 kwa mwezi hivi hiyo hela unaichukuliaje?
mil 180k =180,000,000,000, mkuu upo serious kwel? au haujui k inasimama badala ya nn?Acha kudanganya watu mkuu ... Tsh mil 180k??