issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,128
- 7,899
Weka hapa tuoneestimation nimeifanya kutokana na Youtube channel yake nimefanya. Mengine labda umuulize yeye .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka hapa tuoneestimation nimeifanya kutokana na Youtube channel yake nimefanya. Mengine labda umuulize yeye .
Mzee Magoma alishasema!Mimi namuona kwenye mitandao ya kijanii kutwa ni kujimwambafai tu kuwa anamiliki pisi kali,mara wako wanafuturu kwenye mahotel makubwa.lkn kiukweli huyu jamaa sijui anafanya shughuli gani ya kumpatia pesa za kula bata namna hiyo.
Mwenye kujua anijuze tafadhali.
Ndio jamaa hapo juu amesema manara anaingiza milioni mia Moja na themanini net kwa mwezi kupitia YouTube channel yake. Mimi numemkataliamil 180k =180,000,000,000, 000 mkuu upo serious kwel? au haujui k inasimama badala ya nn?
sasa mkuu kwan unafahamu uhusiano wa jamaa na manara mpaka umkatalie?Ndio jamaa hapo juu amesema manara anaingiza milioni mia Moja na themanini net kwa mwezi kupitia YouTube channel yake. Mimi numemkatalia
Hesabu zinakataa mkuu hata kama siwafahamu.sasa mkuu kwan unafahamu uhusiano wa jamaa na manara mpaka umkatalie?
Unataka na wewe uwe kama manara nkupe code?Mimi namuona kwenye mitandao ya kijanii kutwa ni kujimwambafai tu kuwa anamiliki pisi kali,mara wako wanafuturu kwenye mahotel makubwa.
Lakini kiukweli huyu jamaa sijui anafanya shughuli gani ya kumpatia pesa za kula bata namna hiyo.
Mwenye kujua anijuze tafadhali.
Unataka akuoe ??Mimi namuona kwenye mitandao ya kijanii kutwa ni kujimwambafai tu kuwa anamiliki pisi kali,mara wako wanafuturu kwenye mahotel makubwa.
Lakini kiukweli huyu jamaa sijui anafanya shughuli gani ya kumpatia pesa za kula bata namna hiyo.
Mwenye kujua anijuze tafadhali.
Labda zim dolaYoutube peke yake hakosi 70000$ kwa mwezi
Anapewa msaada na GSM si mlemavu Yule!Mimi namuona kwenye mitandao ya kijanii kutwa ni kujimwambafai tu kuwa anamiliki pisi kali,mara wako wanafuturu kwenye mahotel makubwa.
Lakini kiukweli huyu jamaa sijui anafanya shughuli gani ya kumpatia pesa za kula bata namna hiyo.
Mwenye kujua anijuze tafadhali.
Online Tv, nk,Lakini kiukweli huyu jamaa sijui anafanya shughuli gani ya kumpatia pesa za kula bata namna hiyo.
Mwenye kujua anijuze tafadhali.
Mlemavu classic ambaye utumia ulemavu wake kama kinga asigusweMimi namuona kwenye mitandao ya kijanii kutwa ni kujimwambafai tu kuwa anamiliki pisi kali,mara wako wanafuturu kwenye mahotel makubwa.
Lakini kiukweli huyu jamaa sijui anafanya shughuli gani ya kumpatia pesa za kula bata namna hiyo.
Mwenye kujua anijuze tafadhali.
Wana muda mwingi wa kuchezea
Chaneli_O ?Ana chaneli