Hivi Haji Manara anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato hapo Dar?

Mimi namuona kwenye mitandao ya kijanii kutwa ni kujimwambafai tu kuwa anamiliki pisi kali,mara wako wanafuturu kwenye mahotel makubwa.

Lakini kiukweli huyu jamaa sijui anafanya shughuli gani ya kumpatia pesa za kula bata namna hiyo.
Mwenye kujua anijuze tafadhali.
Chawa tu
 
estimation nimeifanya kutokana na Youtube channel yake nimefanya. Mengine labda umuulize yeye .
Audience ya channel yake kwa kiasi kikubwa ni kutoka dunia ya 3 na google wanairank kama Tier 3, kwahiyo kwa namba za channel yake hawezi kufika hata nusu ya hicho kiwango labda kama ana local sponsors wanaolipia pesa kubwa ila sio Adsense.
 
Ukichunguza sana vya gizani na giza litakuchunguza.... epuka kuchunguza visivyo kuhusu🐼
Hivi mkuu waweza kufasiri mambo yanayomhusu mtu ni yapi?
Nadhani jibu lako laweza kuwa ni mambo unayomiliki personal!

Mwenziyo ninavyoelewa ni kuwa, mambo yanayonihusu ni yale ninayomiliki, yote yanayonizunguka kijiografia, ninayoyafanya, ninayoyaona, ninayoyasikia, ninayoyasoma nk nk ni mada pana.

Personality pamoja na maisha ya Manara yanamhusu huyo mdau mtoa mada anayefuatilia kuuliza humu kwa sababu yameanikwa mtandaoni na kayasoma.
 
Kauliza vyanzo vya mapato, vilivyo dhahiri kama On-line TV channel yake hivyo it's OK lakini visivyo wazi aelewe hiyo ni private territory(very personal) kujaribu kupenya humo ni trespassing.
Ni uchoko kuchimba vyanzo vya mapato ya watu.
 
Hapo sasa umeeleweka.
 
M
Mimi namuona kwenye mitandao ya kijanii kutwa ni kujimwambafai tu kuwa anamiliki pisi kali,mara wako wanafuturu kwenye mahotel makubwa.

Lakini kiukweli huyu jamaa sijui anafanya shughuli gani ya kumpatia pesa za kula bata namna hiyo.
Mwenye kujua anijuze tafadhali.
muulize mwijaku
 
We inakuhusu nini?
Mimi namuona kwenye mitandao ya kijanii kutwa ni kujimwambafai tu kuwa anamiliki pisi kali,mara wako wanafuturu kwenye mahotel makubwa.

Lakini kiukweli huyu jamaa sijui anafanya shughuli gani ya kumpatia pesa za kula bata namna hiyo.
Mwenye kujua anijuze tafadhali.
why, kwa sababu ni albino?
 
Manara hapo alipo pesa ndio inamtafuta yeye sio mtu wakutafuta pesa tena . Sasa weww endelea kushangaa
 
Back
Top Bottom