Hivi Haji Manara anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato hapo Dar?

Mzee Magoma alishasema!
Your browser is not able to display this video.
 
mil 180k =180,000,000,000, 000 mkuu upo serious kwel? au haujui k inasimama badala ya nn?
Ndio jamaa hapo juu amesema manara anaingiza milioni mia Moja na themanini net kwa mwezi kupitia YouTube channel yake. Mimi numemkatalia
 
Unataka na wewe uwe kama manara nkupe code?
 
Unataka akuoe ??
 
Anapewa msaada na GSM si mlemavu Yule!
 
We unafanya nn mkuu tuanze na wewe
 
Mlemavu classic ambaye utumia ulemavu wake kama kinga asiguswe
 
Msipigane kwaajir ya maisha ya mwingine, kwenye mafanikio Kuna siri nyingi inawezekana hata mtoa mada Kuna watu wanahoji unafanya shughuri gani! Sas swala maisha ya mtu wakutoa majibu ni muhusika mwenyewe! Pambana na maisha acha wengine waendeleee kuishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…