Hivi Haji Manara ni msemaji wa Simba au mchambaji Yanga?

Hivi Haji Manara ni msemaji wa Simba au mchambaji Yanga?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Huyu jamaa sasa ameanza.kuboa. kuchwa kutoa maneno ya kashfa dhidi ya Yanga. Huo ni uswahili kaka. Vichambo vyako vinaboa sana. Jikite kwenye kuipromote timu yako

Maneno yako ya shombo dhidi ya Yanga yanasababisha chuki.unaweza kumuharibia hata Modewji biashara zake. Kuna mashabiki wa Yanga wata susia kununua bidhaa za Mo Enterprises kwa sababu ya maneno yako.

Be proffessional kaka. Wewe umeajiriwa kuwa msemaji wa Simba na sio mtu wa kuichamba Yanga. Kama kuiponda Yanga basi iponde kwenye performance na sio masuala mengine yasiyo husiana na mpira uwanjani.
Halafu acha ufala bana. Unakuwa unafikiri sio mtoto wa Kariakoo bana. Simba sio baba ako wala mama.ako. Mungu kakujalia kipaji cha kuongea. Kesho na.keshokutwa unaweza kutimuliwa Simba, Yanga wakakuajiri uwe msemaji wao. Usiwe kama Shabiki maandazi. Wewe kuwa proffessional.

Halafu nashangaa what has came over u. Hukuwaga hivyo wewe. Enzi za madrassa kwa Ustadh Rama pale ulikuwaga smart sana siku hizi sijui umekuwaje weye.

Wewe ni msemaji wa Simba au Mchambaji wa Yanga?

Kila saa gongowazi gongowazi. Unaboa sana kaka. Be proffessional
 
Mkuu kipi kimekuchukiza kutoka kwa manara? haya ni majira tu yanapita kesho usishangae yanga wanakuwa na msemaji zaidi ya shombo nafikiri unakumbuka enzi za yule mkuu wa wilaya (muro) aliyekuwa msemaji wenu wakati huo.
 
Achana naye mbumbumbu huyo! Ameshasahau ni Yanga hiyo hiyo iliyomlisha, kumlea na kumsitiri pamoja na familia yake wakati mzazi wake alipokuwa ni mwajiriwa wa timu ya wananchi.
 
Zile shombo za Manara zinaumiza Sana Bora Muro 😂😂😂
Mkuu kipi kimekuchukiza kutoka kwa manara? haya ni majira tu yanapita kesho usishangae yanga wanakuwa na msemaji zaidi ya shombo nafikiri unakumbuka enzi za yule mkuu wa wilaya (muro) aliyekuwa msemaji wenu wakati huo.
 
Back
Top Bottom