Hivi hakuna ahsante nyingine?

Alisikitika akilia umemuongezea maumivu zaidi 7bu Mumewe alichepuka akaungua na alianzisha vurugu makusudi ili Ke ajisepeshe bila ya kumuambukiza, lkn aliporudiana na Me ndipo alipojuta sana 7bu amepoteza hadi afya yake na hana namna zaidi ya kukuambukiza tu nawe mfe wote[emoji87]
Sijui nifanye nini? Sielewi nini hiki kimenitokea, sina amani ya roho na mwili
 
We n bonge la msaliti.

Umemsaliti msela wako
Hufai kuigwa katika jamii.
 
Unasuruhisha mkiwa watatu then unarudi kuprove kile ulichosuruhisha baadae mkiwa wawili. Yaani kama kumpa Messi mpira halafu kuna mabeki wawili mbele yake anachokifanya ni kufinya tu halafu wayaaaa!
 
Ukiwa mahali popote na ukaonyesha huruma kwa mwanamke kwa kumsaidia jambo lolote wakati wa uhitaji, uwezekano wa kutunukiwa ni mkubwa. Ndio maana wale watu usiotegemea au wenye kipato kidogo kulingana na hao wanawake au waume zao, ndio wanaotunukiwa kirahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…