kazi ipoyaani " mimi nawashangaa sana "" huwa wanahoja dhaifu sana" ambazo zinatufanya sisi " wafuatiliaji wa mjadala " tubaini kwamba " Humu jf huwa kuna members ambao ni vilaza..hata kuhoji hawajui " na wakihoji basi ni hoja dhaifu "".. na wanapopatiwa hoja pia wanashindwa kujibu ".. hata wanapojibu inakuwa ni majibu dhaifu dhidi ya hoja nzito....wanakera aisee""...
mtu anasema eti upepo una uhai "" eti kaambiwa na Allah " upepo " unazaa unakula " unajamiiana " .na kufanya vitendo vyote ambavyo kiumbe hai huwa anavifanya "" kama kusikia " kunusa etc ..hahaa
Kwako wewe dini unaielewa vp?Kumbe dini, inabidi mtu asiwe na yake? Nilikuwa sijui
Iyo Elimu inayozungumzia Muumba hayupo.!?mwache awaelimishe, akiwaacha watabaki shimoni
Kamwambie ndugu yako awe anahoji usahihi wa vitabu vya watu wa kidiniachana nao hao ...nimeshasikiliza sana mawaiza yao ..huwa wanasema jua linatokaga mashariki na kwenda magharibi "".. .so usishangae kusikia kwamba " jiwe na upepo vina uhai
Upepo una uhai?
Huu ni msimamo wako?
Uhai ni nini?
achana nao hao ...nimeshasikiliza sana mawaiza yao ..huwa wanasema jua linatokaga mashariki na kwenda magharibi "".. .so usishangae kusikia kwamba " jiwe na upepo vina uhai
yaani " mimi nawashangaa sana "" huwa wanahoja dhaifu sana" ambazo zinatufanya sisi " wafuatiliaji wa mjadala " tubaini kwamba " Humu jf huwa kuna members ambao ni vilaza..hata kuhoji hawajui " na wakihoji basi ni hoja dhaifu "".. na wanapopatiwa hoja pia wanashindwa kujibu ".. hata wanapojibu inakuwa ni majibu dhaifu dhidi ya hoja nzito....wanakera aisee""...
mtu anasema eti upepo una uhai "" eti kaambiwa na Allah " upepo " unazaa unakula " unajamiiana " .na kufanya vitendo vyote ambavyo kiumbe hai huwa anavifanya "" kama kusikia " kunusa etc ..hahaa
achana nao hao ...nimeshasikiliza sana mawaiza yao ..huwa wanasema jua linatokaga mashariki na kwenda magharibi "".. .so usishangae kusikia kwamba " jiwe na upepo vina uhai
yaani " mimi nawashangaa sana "" huwa wanahoja dhaifu sana" ambazo zinatufanya sisi " wafuatiliaji wa mjadala " tubaini kwamba " Humu jf huwa kuna members ambao ni vilaza..hata kuhoji hawajui " na wakihoji basi ni hoja dhaifu "".. na wanapopatiwa hoja pia wanashindwa kujibu ".. hata wanapojibu inakuwa ni majibu dhaifu dhidi ya hoja nzito....wanakera aisee""...
mtu anasema eti upepo una uhai "" eti kaambiwa na Allah " upepo " unazaa unakula " unajamiiana " .na kufanya vitendo vyote ambavyo kiumbe hai huwa anavifanya "" kama kusikia " kunusa etc ..hahaa
Swali gani unataka nikujibu?Kaka jaribu maswali yangu ya awali kwanza kisha nikujibu swali lako. Kanuni ya kujadiliana ni kufata utaratibu wa hoja moja baada ya nyingine,sasa wewe naona unakiuka kanuni za mijadala.
Twende kwa kufuata utaratibu ili tuishi katika kanuni za mijadala.
Nimefuatilia comments za wote kwenye hii thread,kwa mara nyingine tena Kiranga anaibuka mshindi.
Nyie waabudu Mungu mmeshindwa kabisa kuthibitisha uwepo wa Mungu wenu mwenye uwezo wote,ujuzi wote na upendo wote.
Swali gani unataka nikujibu?
Nikikujibu utathibitisha Mungu yupo?
Utaniambia uhai ambao jiwe linao ni upi na unajihakikishiaje jiwe lina uhai na kwamba hiyobsi hadithi tu?
Umejibubwapi? Nitajuaje umejibu na si jwamba unakimbia swali tu? Unajuaje kwamba jibu lako halina makosa? Unaweza kuweka link hapa kwenye jibu lako?S
Swali la uwepo wa Mola nikishakujibu kitambo sana tena katika mada nyingine kabisa,kama utakuwa na swali lingine unaweza kuuliza.
Nimejibiwa swali kwa swali na mimi naendeleza utamadunibwa kujibubswali kwa swali.
Ni utamaduni mzuri sana wa kuchambua mambo.
Wasomi wanauita "the Socratic Method" kwa sababu Socrates alipenda sana kuutumia.
Nimejibu swali kwa kuuliza.
Kwa nini swali liwe "nani"?
Mtu akimuuliza rangi ya wimbo wa taifa wa Tanzania ni rangi gani, utajibu nini?
Hujajibu maswali yangu.
Hawawezi kuthibitisha Mungu huyo yupo.Nimefuatilia comments za wote kwenye hii thread,kwa mara nyingine tena Kiranga anaibuka mshindi.
Nyie waabudu Mungu mmeshindwa kabisa kuthibitisha uwepo wa Mungu wenu mwenye uwezo wote,ujuzi wote na upendo wote.
Kwa sababu hakuna huyo nani. Kuna nini. Kuna process. Hakuna mtu/ being.Kaka usitufanye sisi mazwa mazwa,hujajibu swali bali umekwepa swali.
Nakuuliza tena swali hili kwanini aisiwe nani na awe nini ?
Tena nilikuuliza ni kitu hufanya (kwa kuzingatia mlengo wako wa kutaka iwe nini ?) manii kuwa pande la damu,kisha kuwa pande la nyama,kisha kuwa mifupa na kuvishwa tena nyama,kama ulivyopewa ushahidi wa kimaandiko kutoka katika Qur'an.
Mungu wako dhana ya kuwapo kwake ina contradiction.Kaka uko mbali sana na misingi ya kielimu. Kuna namna kadha wa kadha za kutoa ushahidi juu ya hilo ulilolidai,kuna ushahidi wa kiakili na kuna ushahidi wa kimaandiko (Ufunuo,sababu mimi ni muislamu huwa natumia Qur'an,sunnah na kauli za waja wema waliotangulia).
Mathalani kwa mulahiduun (Atheist),hoja za kiufunuo au maandiko matukufu huwa wanazikataa,huwa najaribu kutumia hoja za kiakili,sasa tatizo linakuja katika suala la kutumia akili,wakana mungu huwa wanafikiria kwa muelekeo mmoja daima dawamu na uelekeo huo ni HASI,kufikiri kwa mtindo huu ni kufikiri kitoto sana.Katika hili mifano iko mingi sana.
Watu hawa kwao wao wanaamini hisi na maada,kitu au jambo kama hulioni,hulishiki wala hulihisi kwao halipo na katu hawatokuelewa.
Maandiko kwetu sisi huwa ni thabati (Ukweli mtupu) na huwa ni njia madhubuti ya kuupata ukweli na ndio maana tumesisitizwa sana tutumie akili sana katika kuelewa maandiko kadhalika na kuzingatia.
Natamani hata walimu wao wangewafundisha namna ya kuzitumia akili zao,lakini maskini hata walimu wao hawakujua akili ni nini ? Mahala pa akili ni wapi,na uko wa akili ni wapi ?
Halafu mtu kama huyu anakuja kujitutumua kuhoji ? Laa ! Wallahi hawatoweza.
Nukta ya mwisho kaka nataka nikukumbushe kitu hasa mimi sishindani na mtu sababu najua ni maana ya kujadiliana na katika kujadiliana sio lazima tufike muafaka,muafaka ni matokeo tu wala si lengo. Hii kanuni chukua.