Tatizo lako Unaninasibisha Mno na vitu ambavyo sijawahi kukiri kuvitumikiaLakini unakubali gereza la sinagogi,kanisa na msikiti??? Tukikwambia hekalu la ibada asilia unakataa
Umewahi kutazama Judo.?Kuminyana ndio kitu gani???
Hujajitambua wewe.....
naomba tukutane ujitambue
Mkuu punguza ukali wa maneno umemwita punguani mara chizi. Hoja zako zisimame zenyewe zinaeleweka tu. Haina haja ya maneno makaliAnakwambia jiwe lina uhai.
Ukimbana, anakufokea wewe unampotezea muda.
.Haoni kwamba yeye na uchizi wake wa kusema jiwe lina uhai anapotezea watu muda.
Sehemu ya maneno makali, maneno makali yanatakiwa.Mkuu punguza ukali wa maneno umemwita punguani mara chizi. Hoja zako zisimame zenyewe zinaeleweka tu. Haina haja ya maneno makali
Unayo mapepo yamekushika wewe, unahitaji maombiTatizo lako Unaninasibisha Mno na vitu ambavyo sijawahi kukiri kuvitumikia
Kukubali au kutokubali ni juu yangu wala silazimishwi na mtu wala kushawishiwa
Ila ni kwamba naheshimu hizo taasisi kwa kuwa zina michango yake katika jamii
Kikubwa ni kwamba sijaona tofauti kati yenu na wao. Ni Hilo Tu
Kuna sehemu niliuliza nikafafanuliwa kuwa Mizimu ndio mapepo.!Unayo mapepo yamekushika yamekushika wewe, unahitaji maombi
Tuna vibe level moja, unanielewa sana na mimi nakuelewa sana.Ni hivyo
Mwenzako anaamini katika Mizimu wewe hata Mungu hutaki kumsikiaTuna vibe level moja, unanielewa sana na mimi nakuelewa sana.
One.
Nasoma kitabu cha Claude Levi-Strauss "Myth And Meaning: Cracking The Code of Culture".Mwenzako anaamini katika Mizimu wewe hata Mungu hutaki kumsikia
Inawezekanaje hii..?
Au mnaelewana kwenye mauwezo ya kuporomosha malink ili mtukomoe tusiokwenda kwa Rasi_simba
Nilishaacha kusoma mavitabuNasoma kitabu cha Claude Levi-Strauss "Myth And Meaning: Cracking The Code of Culture".
Kinaelezea jinsi gani myths zinavyoweza kuwa na maana kama vessels za culture, hata kwa mtu anayeishi maisha ya kutaka empirical evidence.
Ndiyo maana hata mimi naweza kutumia mistari ya Biblia (as a literary device, not as the word of God) to drive a point home, wakati sikubali kwamba Biblia imeandikwa na Mungu.
Huyo anaweza kutumia vessel ya African myths kukomboa watu waliotekwa na dini za kigeni na mimi nisiyeamini Mungu nikamuelewa anafanya nini katika muktadha wake.
Nuance.
Kama una muda, an hujakisoma, kitafute hicho kitabu, nikifupi sana (kimetokana na lectures za Levi-Strauss), lakini kina mambo mazito sana.
Mimi ni mtu ninayetaka kuwa na "cultural intelligence", naweza kupinga uwepowa Mungu, halafu nikataka kuelewa sababu zinazofanya watu waamini uwepo wa Mungu, halafu nikaweka mambo katika muktadha kiasi kwamba mtu anaweza kuja na myth katika muktadha mzuri, nikakubali, na akaja katika muktadha mbaya, nikakataa.
Kwa hivyo, si ajabu nika vibe naye kwamuktadha husika, wakati napinga mambo fulani ambayo unafikiri anayawakilisha.
NakitafutaNasoma kitabu cha Claude Levi-Strauss "Myth And Meaning: Cracking The Code of Culture".

You do not need to justify yourselfMimi ni mtu ninayetaka kuwa na "cultural intelligence", naweza kupinga uwepowa Mungu, halafu nikataka kuelewa sababu zinazofanya watu waamini uwepo wa Mungu, halafu nikaweka mambo katika muktadha kiasi kwamba mtu anaweza kuja na myth katika muktadha mzuri, nikakubali, na akaja katika muktadha mbaya, nikakataa.
Tatizo unajivunia ujinga wako.Nilishaacha kusoma mavitabu
Ila ngoja nikupe like halafu nikuombee kwa Mungu usiyempa Fagio
Akuwezeshe umalize Maktaba zote kuzisoma na usimpate