Hivi hakuna kabisa uwezekano wa kuzungumza kuhusu Mungu nje ya msamiati wa kiyahudi?

Lakini unakubali gereza la sinagogi,kanisa na msikiti??? Tukikwambia hekalu la ibada asilia unakataa
Tatizo lako Unaninasibisha Mno na vitu ambavyo sijawahi kukiri kuvitumikia

Kukubali au kutokubali ni juu yangu wala silazimishwi na mtu wala kushawishiwa

Ila ni kwamba naheshimu hizo taasisi kwa kuwa zina michango yake katika jamii

Kikubwa ni kwamba sijaona tofauti kati yenu na wao. Ni Hilo Tu
 
Anakwambia jiwe lina uhai.

Ukimbana, anakufokea wewe unampotezea muda.
.Haoni kwamba yeye na uchizi wake wa kusema jiwe lina uhai anapotezea watu muda.
Mkuu punguza ukali wa maneno umemwita punguani mara chizi. Hoja zako zisimame zenyewe zinaeleweka tu. Haina haja ya maneno makali
 
Sehemu ya maneno makali, maneno makali yanatakiwa.

Mtu anayeniita mimi nisiyeamini uwepo wa Mungu kwamba ni Mkristo, ametumia maneno makali dhidi yangu kwa kunipa kwa kulazimisha imani isiyo yangu kama chizi.

Nikimuita chizi, wala situmii maneno makali, natumia maneno stahili.

Tatizo letu si kwamba tunatumia maneno makali sana.

Tatizo letu hatutumii maneno makali vya kutosha.

Ndiyo maana viongozi wetu wanatukosea, hatutumii maneno makali.

Kutotumia maneno makali sehemu yanapotakiwa ni chanzo cha ujinga na umasikini.

Nakataa kutotumia maneno makali pale yanapostahili.

Nitaendelea kutumia hayo unayoyaita maneno makali pale yanapostahili.

Unaweza kujadiliana nami kama panastahili au hapastahili, lakini usinipangie maneno ya kutumia.

Uhuru wangu wa kujieleza ni kitu muhimu zaidi ya taswira yangu, kama uliniona mtu wa staha sana naomba uondoe hiyo taswira na unione mtu ninayeweza na ninayetaka kutumia maneno makali, pale ninapoona panastahili.

Na sijaona ambapo nimetumia maneno makali bila kustahili. Kila utakapoona maneno makali kutoka kwangu, kuna sababu ya msingi.

Inawezekana niko tofauti kidogo na staha za kwenu, lakini sijawahi kusema kwamba nataka kufuata staha za kwenu.
 
Tatizo lako Unaninasibisha Mno na vitu ambavyo sijawahi kukiri kuvitumikia

Kukubali au kutokubali ni juu yangu wala silazimishwi na mtu wala kushawishiwa

Ila ni kwamba naheshimu hizo taasisi kwa kuwa zina michango yake katika jamii

Kikubwa ni kwamba sijaona tofauti kati yenu na wao. Ni Hilo Tu
Unayo mapepo yamekushika wewe, unahitaji maombi
 
Tatizo letu hatutumii maneno makali vya kutosha.

Ndiyo maana viongozi wetu wanatukosea, hatutumii maneno makali.

Kutotumia maneno makali sehemu yanapotakiwa ni chanzo cha ujinga na umasikini
Ni hivyo
 
Wewe wasema

Hapa panatosha sana.

Vizuri ukinipa madokezo yanayokufanya unione kilaza
we sio kilaza, una maarifa mengi sana....you're very intelligent, lakini hujitambui
 
Unayo mapepo yamekushika yamekushika wewe, unahitaji maombi
Kuna sehemu niliuliza nikafafanuliwa kuwa Mizimu ndio mapepo.!

Sasa ndio najiuliza mapepo nitakuja kuyaongeza au kuyapunguza..!?
 
Tuna vibe level moja, unanielewa sana na mimi nakuelewa sana.

One.
Mwenzako anaamini katika Mizimu wewe hata Mungu hutaki kumsikia

Inawezekanaje hii..?

Au mnaelewana kwenye mauwezo ya kuporomosha malink ili mtukomoe tusiokwenda kwa Rasi_simba
 
Kuna sehemu niliuliza nikafafanuliwa kuwa Mizimu ndio mapepo.!

Sasa ndio najiuliza mapepo nitakuja kuyaongeza au kuyapunguza..!?
Pepo, ni roho, Mungu, or the very concept of God, is an inference of pepo
 
Mwenzako anaamini katika Mizimu wewe hata Mungu hutaki kumsikia

Inawezekanaje hii..?

Au mnaelewana kwenye mauwezo ya kuporomosha malink ili mtukomoe tusiokwenda kwa Rasi_simba
ukifika juu ya mlima, huta mwona Mungu, but yourself
 
Mwenzako anaamini katika Mizimu wewe hata Mungu hutaki kumsikia

Inawezekanaje hii..?

Au mnaelewana kwenye mauwezo ya kuporomosha malink ili mtukomoe tusiokwenda kwa Rasi_simba
Nasoma kitabu cha Claude Levi-Strauss "Myth And Meaning: Cracking The Code of Culture".

Kinaelezea jinsi gani myths zinavyoweza kuwa na maana kama vessels za culture, hata kwa mtu anayeishi maisha ya kutaka empirical evidence.

Ndiyo maana hata mimi naweza kutumia mistari ya Biblia (as a literary device, not as the word of God) to drive a point home, wakati sikubali kwamba Biblia imeandikwa na Mungu.

Huyo anaweza kutumia vessel ya African myths kukomboa watu waliotekwa na dini za kigeni na mimi nisiyeamini Mungu nikamuelewa anafanya nini katika muktadha wake.

Nuance.

Kama una muda, na hujakisoma, kitafute hicho kitabu, ni kifupi sana (kimetokana na lectures za Levi-Strauss), lakini kina mambo mazito sana.

Mimi ni mtu ninayetaka kuwa na "cultural intelligence", naweza kupinga uwepo wa Mungu, halafu nikataka kuelewa sababu zinazofanya watu waamini uwepo wa Mungu, halafu nikaweka mambo katika muktadha kiasi kwamba mtu anaweza kuja na myth katika muktadha mzuri, nikakubali, na akaja katika muktadha mbaya, nikakataa.

Kwa hivyo, si ajabu nika vibe naye kwa muktadha husika, wakati napinga mambo fulani ambayo unafikiri anayawakilisha.
 
Nasoma kitabu cha Claude Levi-Strauss "Myth And Meaning: Cracking The Code of Culture".

Kinaelezea jinsi gani myths zinavyoweza kuwa na maana kama vessels za culture, hata kwa mtu anayeishi maisha ya kutaka empirical evidence.

Ndiyo maana hata mimi naweza kutumia mistari ya Biblia (as a literary device, not as the word of God) to drive a point home, wakati sikubali kwamba Biblia imeandikwa na Mungu.

Huyo anaweza kutumia vessel ya African myths kukomboa watu waliotekwa na dini za kigeni na mimi nisiyeamini Mungu nikamuelewa anafanya nini katika muktadha wake.

Nuance.

Kama una muda, an hujakisoma, kitafute hicho kitabu, nikifupi sana (kimetokana na lectures za Levi-Strauss), lakini kina mambo mazito sana.

Mimi ni mtu ninayetaka kuwa na "cultural intelligence", naweza kupinga uwepowa Mungu, halafu nikataka kuelewa sababu zinazofanya watu waamini uwepo wa Mungu, halafu nikaweka mambo katika muktadha kiasi kwamba mtu anaweza kuja na myth katika muktadha mzuri, nikakubali, na akaja katika muktadha mbaya, nikakataa.

Kwa hivyo, si ajabu nika vibe naye kwamuktadha husika, wakati napinga mambo fulani ambayo unafikiri anayawakilisha.
Nilishaacha kusoma mavitabu

Ila ngoja nikupe like halafu nikuombee kwa Mungu usiyempa Fagio

Akuwezeshe umalize Maktaba zote kuzisoma na usimpate
 
Nakitafuta
Asante
 
Nilishaacha kusoma mavitabu

Ila ngoja nikupe like halafu nikuombee kwa Mungu usiyempa Fagio

Akuwezeshe umalize Maktaba zote kuzisoma na usimpate
umevaa kichwa cha farao, lakini hamna kitu
 
Mimi ni mtu ninayetaka kuwa na "cultural intelligence", naweza kupinga uwepowa Mungu, halafu nikataka kuelewa sababu zinazofanya watu waamini uwepo wa Mungu, halafu nikaweka mambo katika muktadha kiasi kwamba mtu anaweza kuja na myth katika muktadha mzuri, nikakubali, na akaja katika muktadha mbaya, nikakataa.
You do not need to justify yourself
your ok Mr Alwatan
 
Nilishaacha kusoma mavitabu

Ila ngoja nikupe like halafu nikuombee kwa Mungu usiyempa Fagio

Akuwezeshe umalize Maktaba zote kuzisoma na usimpate
Tatizo unajivunia ujinga wako.

Hatuwezi kuelewana.
 
Back
Top Bottom