Hivi hakuna kabisa uwezekano wa kuzungumza kuhusu Mungu nje ya msamiati wa kiyahudi?

Hivi hakuna kabisa uwezekano wa kuzungumza kuhusu Mungu nje ya msamiati wa kiyahudi?

sayansi hii ya mtume wako ilishakuwa debunked na kuwa proved kuwa mtoto hapiti hizo stage
mohamed bin abdullah got everything that was supposed to be wrong,wrong

Qur'an haiifati sayansi bali sayansi inifata sayansi. Qur'an inasema ukweli siku zote.

Sayansi lazima iseme yake bali ikosee sababu haina uwezo wa kuelezea hatua hizo tajwa hapo.
 
Qur'an haiifati sayansi bali sayansi inifata sayansi. Qur'an inasema ukweli siku zote.

Sayansi lazima iseme yake bali ikosee sababu haina uwezo wa kuelezea hatua hizo tajwa hapo.
sijui umeishia darasa la ngapi wewe
q'uran yako inasema nyota ni makombora anayotumia allah kupiga shetani asiingie peponi kusumbua..niambie na kituko hiki
eti quran haikosei...yani mafundisho ya mohamed kwenye quran ni vichekesho vitupu
 
Maneno yako yanaonyesha uwepo wa Allah sababu umemua kuukataa ukweli sababu wewe ni mtu huru.

Narudi kwenye suala ulilo uliza. Mbingu na ardhi na vyote vilivyomo ni viumbe kwanza sababu Allah ametueleza juu ya viumbe hivi na ni hai sababu vinaishi na vina mtii yeye.

Majini na watu wamepewa akili na uhuru na kuamua wayafanyayo ambayo yako ndani ya uwezo wao.

Uhai ni uzima uzima wa kimwili,imani na kiroho.
Jiwe na upepo vina uhai?

Vina uzima wa kimwili, imani na kiroho?
 
basi q'uran ilidanganya na aliyeandika haya ni muongo au alikuwa hana elimu ya uzazi
Quran inasema Allah kuna watu kawaziba macho wasimjue,kawafunga mioyo wasimjue, halafu atawahukumu kwa kutomjua.

Huyo Allah ni Mungu wa haki au hadithi ya uchizi?

Eti Mungu anakuzuia usimjue, halafu anakuhukumu kwa kuwa hujamjua!
 
wanaoamini hekaya kama hizi naonaga wana uchizi flani
 
scientifically proved mtoto hawi formed kama mohamed alivyosema
na sperm hazitoki kati ya mgongo na mbavu,zinatoka kwenye testicles
Hizo unazoita testicle ni kama walet ya kuwekea pesa kwa matumizi ya haraka na utayari

Lakini hazina kuu ipo nyumbani au bank ambayo ni uti wa mgongo

Hivyo usikatae
 
Hizo unazoita testicle ni kama walet ya kuwekea pesa kwa matumizi ya haraka na utayari

Lakini hazina kuu ipo nyumbani au bank ambayo ni uti wa mgongo

Hivyo usikatae
Na wewe unaamini jiwe lina uhai?
 
Kwani jiwe linatokana na nini.?
Nakuuliza. Jiwe lina uhai? Sijauliza linakotoka jiwe kuna uhai.

Jiwe lina uhai?

Naona unajiwekea mazingira ya kusema maiti ina uhai, kwa sababu imetoka kwenye mwili wenye uhai.

Kwani uhai ni nini?
 
Kwani uhai ni nini?
Life

Definition

noun, plural: lives

noun, plural: lives

(1) A distinctive characteristic of a living organism from dead organism or non-living thing, as specifically distinguished by the capacity to grow, metabolize, respond (to stimuli), adapt, and reproduce

Kiumbe hai kinapumua, kina mfumo wa kula na kutoa uchafu, kinajisogeza, kinakua, kina sensory receptors z8nazo reapond to stimuli, kinazaliana.

Jiwe na upepo havina sifa hizo.

Wewe nawe umo katika ujinga wa kuam8ni jiwe lina uhai?

Jiwe ni non living thing.

Jiwe lina uhai?
 
Hizo unazoita testicle ni kama walet ya kuwekea pesa kwa matumizi ya haraka na utayari

Lakini hazina kuu ipo nyumbani au bank ambayo ni uti wa mgongo

Hivyo usikatae
hebu toa sayansi yako uchwara hapa
 
Life

Definition

noun, plural: lives

noun, plural: lives

(1) A distinctive characteristic of a living organism from dead organism or non-living thing, as specifically distinguished by the capacity to grow, metabolize, respond (to stimuli), adapt, and reproduce

Kiumbe hai kinapumua, kina mfumo wa kula na kutoa uchafu, kinajisogeza, kinakua, kina sensory receptors z8nazo reapond to stimuli, kinazaliana.

Jiwe na upepo havina sifa hizo.

Wewe nawe umo katika ujinga wa kuam8ni jiwe lina uhai?

Jiwe ni non living thing.

Jiwe lina uhai?
Ikiwa tunategemea mimea ili tuishi

Na mimea inategemea udongo.!

Na udongo unatokana na miamba.!

Na miamba ni kaka yake jiwe.!

Ugumu uko wapi.!?
 
Ikiwa tunategemea mimea ili tuishi

Na mimea inategemea udongo.!

Na udongo unatokana na miamba.!

Na miamba ni kaka yake jiwe.!

Ugumu uko wapi.!?
Nilisema hapo mwanzo kwamba unajitengenezea mazingira ya kusema maiti ina uhai, kwa sababu imetoka katika mwili wenye uhai.

Na kwa jibu lako la juu hapo, unaweza kusema maiti ina uhai. Kwa sababu inaoza na kutoa virutubisho vinavyotumiwa na mimea yenye uhai.

Sijauliza kipi kinatoka wapi.

Nimeuliza, jiwe lina uhai?

Ukianza habari za "ikiwa kimetoka kule" utasema "Jesca Magufuli ni rais wa Tanzania"

Kwa sababu Jesca Magufuli katoka kwa John Magufuli, na John Magufuli ni rais wa Tanzania, hivyo basi Jesca Magufuli naye ni rais wa Tanzania.

Je, Jesca Magufuli ni rais wa Tanzania?
 
Nilisema hapo mwanzo kwamba unajitengenezea mazingira ya kusema maiti ina uhai, kwa sababu imetoka katika mwili wenye uhai.

Na kwa jibu lako la juu hapo, unaweza kusema maiti ina uhai. Kwa sababu inaoza na kutoa virutubisho vinavyotumiwa na mimea yenye uhai.

Sijauliza kipi kinatoka wapi.

Nimeuliza, jiwe lina uhai?

Ukianza habari za "ikiwa kimetoka kule" utasema "Jesca Magufuli ni rais wa Tanzania"

Kwa sababu Jesca Magufuli katoka kwa John Magufuli, na John Magufuli ni rais wa Tanzania, hvyo basi Jesca Magufuli naye ni rais wa Tanzania.

Je, Jesca Magufuli ni rais wa Tanzania?
Jifunze kuelewa mambo ya kiroho

Utapata tabu mno dunia kwako itakua mzigo

Hili nalo linakuchangaya kweli..!

Kweli utafikia uwezo wa kujua mimi ndio wewe na wewe ndio mimi..!?

Tunao act through Total conscious and sub_consciousness level of reality in deferent place at once..[emoji41]

Ndio maana wazungu wanawakokota

Hii ndio siri msiyofahamu watu weusi Tii_utenganifu ni illusion not real
 
Let's see.

Unasema jiwe lina uhai. Huwezi kuthibitisha.

Unasema Mungu yupo.Huwezi kuthibitisha.

Umekubali Jesca Magufuli ni rais wa Tanzania. Huwezi kuthibitisha.

Unaweza kuthibitisha roho ipo na si uongo mwingine tu?
 
Back
Top Bottom