Hivi hakuna kabisa uwezekano wa kuzungumza kuhusu Mungu nje ya msamiati wa kiyahudi?

hebu kwanza niambie maana ya shetani
naona imani yako ya kiarabu inakaribia kukutia uchizi

Shetani ni sifa anaweza kuwa nayo bibadamu au jini.

Sifa hii ni sifa mbaya sababu inaambatana na uasi.

Tamko shetani lina tokana na tamko "shata" lenye maana ya kutofautiana na yote haya kiasili ni maneno ya kiarabu.

Na Allah anajua zaidi.
 
nani alisema nyota na vimondo ni makombora kwa ajili ya kumpiga shetani?
 
Hivi ni kweli hulewi kile anacho maanisha..! au unataka kumchosha

Ili akujibu ni Trump wa Marekani ili iwe ni kero..!?
 
Si mchezo hapo, maana na mchina nae atajiuliza hivyo hivyo na mzungu nae atajiuliza hivyo na hadi muhindi pia atajiuliza hivyo hivyo.
Mzungu anajiuliza nini, yesu ndio mtume na mungu wake, wachina wana Buddha, wahindi miungu yao kibao mitume na manabii???? Asiye na cha kwake ni sisi
 
Kupotezeana muda unaleta wewe unayesema jiwe lina uhai, upepo una uhai.

Unaelewa hilo?

Unaelewa kwamba kama kuna mtu anayetakiwa kulalamika kuhusu kupotezeana muda ni mimi, si wewe?

Unaelewa kwamba unapong'ang'ania kusema jiwe lina uhai unajionesha upunguani wako hapa?

Kwanza nakutoa wasi wasi kuonekana punguani sio tatizo,tatizo ni nani anaeniona mimi punguani.

Pili,suala la uhai wa jiwe na upepo liko wazi. Jiwe na upepo ni miongoni mwa viumbe vya Allah aliye juu. Vina mtii yeye kwa kila anacho waambia viumbe hawa.

Tatu suala la uhai wa jiwe na upepo linathibitishwa hasa kwa maandiko kisha akili inafanya kazi kuchanganua na kufikiri juu ya ukweli huu.

Nakuuliza swali la ziada je kwako wewe una tambua vipi kama kitu kipi kina uhai na kipi hakina uhai... ?
 
Unatetea uongo mmoja kwa uongo mwingine.

Thibitisha Allah yupo.

Halafu eleza kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana, wakati ana uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.
 
Ujue kila kitu kina mungu wake. Mimea,wanyama, wadudu nk. Labda miungu hiyo ikae pamoja na kumchagua bisi wa wote . Swala la binadamu huenda kila rangi ina mungu wake ndio maana IQ zinatofautiana. Na huenda kila mtu ana chanzo chake , basi heshimu hicho chanzo ndio ngao yako. Hizi dini ni kanyaga boya .
Asante
 
Anakwambia jiwe lina uhai.

Ukimbana, anakufokea wewe unampotezea muda.
.Haoni kwamba yeye na uchizi wake wa kusema jiwe lina uhai anapotezea watu muda.

Kaka nakukumbusha kitu moja

Kaka karne nyingi sana zimepita hakuna hata mtu mmoja aliyewahi kuthibitisha kutokuwepo kwa Allah bali wote hoja zao huwa ni dhidi yao,huku wakijiwekea kinga ya kutokujibu hoja na kutaka uthibitisho.
 
Hujathibitisha Allah yupo.

Hujaeleza kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.
 
tunaamini dini za wazungu na waarabu? sometimes naona kama mzee wa upako, gwajima, tb joshwa labda hizo ndizo dini mpya za ki Africa.
Dini yetu ipo,kongwe kuliko zote, wao waliigiza na kukopi toka kwetu, kisha wakatuletea kwa upanga na bunduki...ni muda kuifufua dini yet u umefika, kuisuka upya, Saw a sawa na mahitaji yetu ya jana leo na hata milele
 
Unatetea uongo mmoja kwa uongo mwingine.

Thibitisha Allah yupo.

Halafu eleza kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana, wakati ana uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Je huoni kwamba kuna mazuri pia yanawezakana ?

Au wewe hujui kama kuna mazuri pia ?

Hakuna mtu aliyeambiwa afanye mabaya mabaya yapo ili watu wayaepuke ndio maana wakaambiwa hili baya lichwe na hili zuri lifanye .

Kwa mfano sisi tumeambiwa na Allah aliye juu ya kuwa "...msi karibie zinaa hakika zinaa ni uchafu"

Hapo tumejua ya kuwa zinaa ni chafu na tusiikaribie na akatupa lililo bora na kutuamrisha tuoe kwa yule mwenye uwezo.

Kwahiyo unapoona hili baya unatakiwa uliepuke na ufanye lile zuri ambalo nalo pia unaweza kulifanya.

Sasa nina swali la kuuliza wewe unajuaje kama hili bayana hili zuri ?

Allah hana baya kwa waja wake . Kwa upeo wako naona hujui zuri ulijualo na ukisema unajua naomba uniambie mazuri mawili uyajuayo na uniambie umejuaje kama hayo ni mazuri ?
 
Nakuuliza jwa nini Mungubkaumba ulimwengu ambaonunaruhusu mabaya, unan8nibu siininkama kuna mazuri pia?

Umeekewa swali?

Nakwambia Mungu hayupo. Angekuwepo kungekuwa hakuna mabaya.

Hujibu kuhusu mabaya.

Unaniuliza kama sioninkuna mazuri.

Ina maana unakubali mabaya yapo na Mungu hayupo?

Mungubwako alishindwa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani, yanawezekana mazuri tu?
 
Kaka nimekujibu vyema,inaonekana hujasoma jibu,embu uwe unasoma hoja na kuzitafakari sio unaperuzi tu.

Nimekujibu swali na nimekua mfano.
 
Kwa nini Mungu hakuumba ulimwengu ambao ubaya haupo, hauwezekani na haujulikani?

Alishindwa kuumba ulimwengu huo?
 
Back
Top Bottom