hebu kwanza niambie maana ya shetani
naona imani yako ya kiarabu inakaribia kukutia uchizi
Shetani ni sifa anaweza kuwa nayo bibadamu au jini.
Sifa hii ni sifa mbaya sababu inaambatana na uasi.
Tamko shetani lina tokana na tamko "shata" lenye maana ya kutofautiana na yote haya kiasili ni maneno ya kiarabu.
Na Allah anajua zaidi.