Kwa nini Allah anajitekenya nankucheka mwenyewe?
Kwa nini anatupa mabaya halafu eti tuyashinde kwa akili zetu?
Lile tsunami lililoua watu maelfu nani ana akili ya kulishinda?
Ndio mpangobwa Allah huo? Kuua na kutesa watu wasio na uwezo wa kukabili mazingira yao?
Nikifananisha hilo na baba anayempa sumu mtoto mchanga nitakuwa nimekosea?
Hahahaha,tsumani ilikuwa ni adhabu mzee,na alishasema mzee yeye Allah ni mjuzi wa kuadhibu. Sasa inabidi pia ujue au uelekezwe kujua adhabu ni ipi na thawabu ni ipi.
Taratibu tu tutafika kama unaelewa elewa hivi kwa mbaali sema hujui kujenga hoja zenye uhalisia na zilizo thabiti ndio maana unakuwa unarudia rudia tu kitu kile kile tofauti ni hiki cha muda huu na kile ni cha muda ule.