Hivi hakuna kabisa uwezekano wa kuzungumza kuhusu Mungu nje ya msamiati wa kiyahudi?

Kwa nini Allah anajitekenya nankucheka mwenyewe?

Kwa nini anatupa mabaya halafu eti tuyashinde kwa akili zetu?

Lile tsunami lililoua watu maelfu nani ana akili ya kulishinda?

Ndio mpangobwa Allah huo? Kuua na kutesa watu wasio na uwezo wa kukabili mazingira yao?

Nikifananisha hilo na baba anayempa sumu mtoto mchanga nitakuwa nimekosea?

Hahahaha,tsumani ilikuwa ni adhabu mzee,na alishasema mzee yeye Allah ni mjuzi wa kuadhibu. Sasa inabidi pia ujue au uelekezwe kujua adhabu ni ipi na thawabu ni ipi.

Taratibu tu tutafika kama unaelewa elewa hivi kwa mbaali sema hujui kujenga hoja zenye uhalisia na zilizo thabiti ndio maana unakuwa unarudia rudia tu kitu kile kile tofauti ni hiki cha muda huu na kile ni cha muda ule.
 
Na watoto wachanga waliokufa Allah anawaadhibu kwa kisa gani?
 
Hujajibu swali. Una uwezo wa kurudi mwaka 1982?

Suppose umefanya baya mwaka huo, unataka kurudi urekebishe.

Umesema Mungu katupa uwezo wa kuchagua zuri au baya.

Unataka kuchagua zuri ufanye badala ya baya ulilofanya.

Unaweza kurudi mwaka 1982 ubadili?

Kama huwezi, habari kwamba tumepewa free will ni uongo.

Kaka kwanza kiri kabisa huzielewi hoja zangu,nina uhakika kabisa haya ninayo kwambia muda huu ni mapya kwako na akili yako bado haijaweza kuyang'amu tena ukijumlisha kutoweza kwako kuitumia hiyo akili ndio mauza uza haya unayandika.

Ukisoma kwa umakini hoja yangu hapo nyuma utaona kabisa nimemaanisha huwezi kurudi mwaka 1982.

Sasa hapa nakujibu kwa uwazi kabisa huwezi kurudi mwaka 1982.

Kaka ukiharibu leo huna haja ya kurudi nyuma unachotakiwa ni wewe ni kufanya toba na kukiri kosa lako kisha unaweka nia kwamba hutorudia tena kisha maisha yanaendelea.
 
Nitaelewaje hoja za mtu anayesema jiwe ni kiumbe hai?

Na kama huwezi kurudi mwaka 1982 kubadilisha baya ulilolifanya liwe zuri, utasemaje umepewa freewill kuchagua mazuri na mabaya?
 
Na watoto wachanga waliokufa Allah anawaadhibu kwa kisa gani?

Nani kakwambia kwamba atawaadhibu na je atawaadhibu kwanini ? Naomba unijibu swali hili,halafu uache kuchukua maneno ya vijiweni.

Atakacho kifanya Allah kwa watoto wachanga,atawapa mtihani na wao watakao faulu watalipwa pepo na watakao feli watapewa moto. Huku utaratibu ukiwa ni uleule.

Kaka jambo la watoto ubaliona zito sana,kaka ile ni hatua tu.
 
Umesema tsunami ni adhabu. Unakubali hilo?
 
Nitaelewaje hoja za mtu anayesema jiwe ni kiumbe hai?

Na kama huwezi kurudi mwaka 1982 kubadilisha baya ulilolifanya liwe zuri, utasemaje umepewa freewill kuchagua mazuri na mabaya?

kaka baya ni baya tu bali baya linafutwa kwa toba na kuendelea kufanya mema.

Mfano wako ni kutaka tendo la kunya libadilike kuwa kula,hii haiwezekani.

Aliyetuumba ametuwekea utaratibu mwepesi sana wa kuishi,ukifanya baya unaomba msamaha kwake sababu mema yapo unaendelea kufanya mema hivyo hivyo.
 
Kwanini nisikubali au unataka uniletee mbwembwe za makasio ya kisayansi hahahaha.

Tatizo mnafikiri kwa kuona tu na kuhisi,kufikiria kw namna hii ni kufikiria kwa kitoto.
 
Mungubwako alishindwa kuumbabulimwenguvambao baya lolote haliwezekani?

Kama hakushindwa, kwa nini hakuuumba ulimwengu huu uwe hauwezekani kuwa na baya lolote?

Suala la Mungu katupa free will tuamue jema na baya si jibu. Kwa sababu tushaona huna free will ya kurudi 1982 kubadili baya ufanye jema.
 
Sasa adhabu ya tsunami imeua mpaka watoto wachanga.

Watoto wachanga wasio na akili ya kujua jema wala baya, wameadhibiwa mpaka kuuawa na tsunami.

Wameadhibiwa kwa kosa gani ilhali hawajui jema wala baya bado wachanga?
 
Adhabu ya Allah aliyejuu ikija haichagui huo ndio utaratibu aliouweka,kwahiyo suala la malipo yeye ndio atakae walipa waja wake.

Na angetaka pia angewatoa katika adhabu.

Hujawahi kuona dhoruba zinatokea watoto au watu wazima wakanusurika sababu hukuwahi kujiuliza kwanini hawa wana pona na hawa wamekufa. ? Sasa swali hili ndio uwe unajiuliza kuanzia leo.

Sababu sayansi unayoifanya kama kila kitu kwako haiwezi kuelezea jambo hilo.
 
Mungubwako alishindwa kuumbabulimwenguvambao baya lolote haliwezekani?

Kama hakushindwa, kwa nini hakuuumba ulimwengu huu uwe hauwezekani kuwa na baya lolote?

Suala la Mungu katupa free will tuamue jema na baya si jibu. Kwa sababu tushaona huna free will ya kurudi 1982 kubadili baya ufanye jema.

Utoto huu nimeshaujibu tayari.
 
Adhabu ya Allah aliyejuu ikija haichagui huo ndio utaratibu aliouweka,kwahiyo suala la malipo yeye ndio atakae walipa waja wake.

Na angetaka pia angewatoa katika adhabu.

Hujawahi kuona dhoruba zinatokea watoto au watu wazima wakanusurika sababu hukuwahi kujiuliza kwanini hawa wana pona na hawa wamekufa. ? Sasa swali hili ndio uwe unajiuliza kuanzia leo.

Sababu sayansi unayoifanya kama kila kitu kwako haiwezi kuelezea jambo hilo.
Kwa hiyo Allah wako ni muuaji wa vitoto vichanga tu, suala la adhabu kwa vitoto vichanga ambavyo havijui jema na baya halipo hapo.

Unakubali?
 
Nitaelewaje hoja za mtu anayesema jiwe ni kiumbe hai?

Na kama huwezi kurudi mwaka 1982 kubadilisha baya ulilolifanya liwe zuri, utasemaje umepewa freewill kuchagua mazuri na mabaya?

Unakumbuka nilikuuliza kwako wewe kiumbe hai unakitambuaje ?

Kwa akili yako hapa unaweza kukataa sababu hapa nimebadilisha mjengeko wa sentensi. Huchelewi wewe kukana.

Sasa swali hilo pia usisahau kulijibu.
 
Jiwe ni kiumbe hai?

Unang'ang'ania hili bila aibu?
 
Eti Mungu mwenye upendo mkuu kaumba ulimwengu ambao watoto mamilioni wanakufa kabla ya kufikia miaka mitano kwa umasikini, njaa, ujinga na maradhi.

Na watu wanakubali ujinga huu.
ha hahaha" mazwazwa mengi " mnooo"". usishangae kabisa mkuu" "ukitaka kujua kuwa Africa kuna watu nusu machizi angalia ambavyo serikali zao zinavyo waongoza ""..
 
Back
Top Bottom