Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 925
- 550
Hivi hakuna wa kunyapia habari za Soudy Brown? Maana inasemekana lakini eti jamaa alikuwa east cost.
Pia inasemekana anamambo ya kitoto toka kwa aliyekuwa shemela wetu Ruby Pia jamaa hua hajali Hahaha ila sio habari mpya zipo toka kitambo japo tofauti na hizo sijasikia nyingine za Soudy Brown.