Hivi hakuna wa kumnyapia nyapia Soudy Brown? Inasemekana lakini....

Hivi hakuna wa kumnyapia nyapia Soudy Brown? Inasemekana lakini....

Principal Focus

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
925
Reaction score
550
Hivi hakuna wa kunyapia habari za Soudy Brown? Maana inasemekana lakini eti jamaa alikuwa east cost.

Pia inasemekana anamambo ya kitoto toka kwa aliyekuwa shemela wetu Ruby Pia jamaa hua hajali Hahaha ila sio habari mpya zipo toka kitambo japo tofauti na hizo sijasikia nyingine za Soudy Brown.
 
Kabla hamjanyapia kesha nyapia mchongo wenu wa kumnyapia
 
Yule jamaa bhana..... yupo makini sana na scandal..... Ni vingumu sana kumnasa kabla hujamnasa yeye amesha kunasa.....
 
Yule jamaa bhana..... yupo makini sana na scandal..... Ni vingumu sana kumnasa kabla hujamnasa yeye amesha kunasa.....
Labda ndugu yake mange kimambi ndio anajua kunyapia zaidi.. Hahaha
 
Huyu hapa
c7c1c20d0c5f27a1d55aa1245e46c5df.jpg
 
Back
Top Bottom