Wapo mmoja mmoja sista, endelea tu kumuomba Mungu atakupa unayemtaka, ila ndo hivyo uwe tayari kusacrifice zile sifa zingine mzipendazo sana kwa ujumla wenu, loh! Coz hakuna aliyepewa vyote na Mwenyezi Mungu
Hahaha Imebidi nicheke wallah. Yani kama short chasis kawashinda hadi warefu kwa vigezo, unadhani namuacha sasa? Awe tu anajiamini maana watu wafupi nao hawajambo
Khaaaaah short chasis tena!! Ila akiwa na pesa anakuwa super tall
Niaje...niajeeeee?Wacha we!!!
Niaje...niajeeeee?
Hahaha so height ya mtu inapimwa kwa ujazo wa account yake eeh?
Asikuambie mtu, anakuwa mrefu hashim haoni ndani.
Nina bomba la kutolea mbegu, haziishi....Nataka kuzaa na wewe.
Basi ongea vizuri na andunje RRONDO maana alikuwa analalamika yeye short chasis sijui. Sema hela anayo, afu tena ana mgutambi hugoo. Mfanye ajisikie hasheem thabit teh
Nina bomba la kutolea mbegu, haziishi....
Lakini damu yangu inaenda upareni....
...Haya kazi kwako tulitafute lihendisamu/libiutifuli letu...chanua!!
Yaani RRONDO hataaa asijali mbona mie namuona six packs zimejipanga zile, na alivyo mrefu sasa, wanaomwambia yeye mfupi wanamuonea wivu tu.
Nakupofua macho kiaje? Au kwa vile nimekubania dyudyu.? Kwa ufupi gani haswa, hapa ni 1.8cm wewe.....hata kwa mura hawaingii humu..!!Yaani siku hizi unanipofua macho hata sikuelewi, yaani tokea mtafaruku wa vitambi utokee yaani daaah!!!
Sasa iende upareni kufanya nini? Na ole wako kawe kafupi utanitambua nakuambia.
Hahaha basi sawa, kula mihogo kwema teh
Nakupofua macho kiaje? Au kwa vile nimekubania dyudyu.? Kwa ufupi gani haswa, hapa ni 1.8cm wewe.....hata kwa mura hawaingii humu..!!
Mmmh hapo kwenye mihogo ndipo penye changamoto haswaaaaaa
Teh me nimejisemea tu jamani, Inawezekana budget yake imeongezeka kwenye azam cola now
Ahaa..sasa nimeelewa, usizunguke mbuyu..leta haluwa hiyo mae...!Nimekumiss ujue!
Ahaa..sasa nimeelewa, usizunguke mbuyu..leta haluwa hiyo mae...!
Umekuwa mnyimi sana lately, hata sis darling wangu ameniambia tukiwa mkesha jana..
Uzee tena? Usiniambie unaaprochi menopause...Hahahaaaaa!! Uzee nao unachangia
Hahahaaaaa!! Uzee nao unachangia