mtoto wa mchungaji
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 279
- 480
Siasa ni ya ajabu sana wakati hili linashangaza watu wengi, yaani ukikumbuka nyuma ni ngumu kuitaja Chadema bila kumtaja Mdee lakini leo ni mamluki.
Chakushangaza zaidi kesho utasikia wako tena pamoja na wanatwambia hakuna adui wala rafiki wa kudumu ndani ya siasa.
Hata hivyo ninakaswali ka uzushi nachomekea tu, hivi jamani kwa mfano katika uchaguzi uliopita wangeshinda Mboe, Lema na Sugu pekeyao, mnadhani hawa majamaa wange susia bungeni? Yaani kuacha milioni 12 kilamwezi?