mtoto wa mchungaji
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 279
- 480
That, they pay!Politics and crime are the same thing!
Kinacho sababisha ni njaa,na Tamaa binafsi kwa aliyejipanga,na anayeamini mile anachotetea asinge fanya hilo.Siasa ni ya ajabu sana wakati hili linashangaza watu wengi, yaani ukikumbuka nyuma ni ngumu kuitaja Chadema bila kumtaja Mdee lakini leo ni mamluki.
Chakushangaza zaidi kesho utasikia wako tena pamoja na wanatwambia hakuna adui wala rafiki wa kudumu ndani ya siasa.
Hata hivyo ninakaswali ka uzushi nachomekea tu, hivi jamani kwa mfano katika uchaguzi uliopita wangeshinda Mboe, Lema na Sugu pekeyao, mnadhani hawa majamaa wange susia bungeni? Yaani kuacha milioni 12 kilamwezi?
Hatari snBinafsi nilisikitika sana Halima ku behave namna ile.
Sasa kama wameshinda kihalali, kama unavyosema kwa nini wasusie?Hata hivyo ninakaswali ka uzushi nachomekea tu, hivi jamani kwa mfano katika uchaguzi uliopita wangeshinda Mboe, Lema na Sugu pekeyao, mnadhani hawa majamaa wange susia bungeni? Yaani kuacha milioni 12 kilamwezi?
Are you serious? wataenda kukomalia sehemu nyingine nadhani.Siasa ni Game daima cheza Karata zako vizuri
Hao wadada waacheni wako kwenye mafunzo ila watakomaa.
Halima Mdee awe kwenye mafunzo?Siasa ni Game daima cheza Karata zako vizuri
Hao wadada waacheni wako kwenye mafunzo ila watakomaa.
Wanachoweza kufanya hao akina mama ni kuingia ACT-Wazalendo.Chakushangaza zaidi kesho utasikia wako tena pamoja na wanatwambia hakuna adui wala rafiki wa kudumu ndani ya siasa.
Waombe watanzania radhi tu mkuu. Ukimiya wao kwa kweli walijua wamekosea. Ila pigo walilolipata linatosha. Na limekuwa fundisho. Naona wasihame chama wavumiliye yatapita.Halima anasema eti alitekwa na mamlaka za juu. 🤣🤣🤣🤣🤣
Covid-19 wataondoka lakini CDM itadumu milele. Magu amekufa na kuiacha CDM ikimea. Mjifunze kwa hayo ndugu zanguni.Siasa ni ya ajabu sana wakati hili linashangaza watu wengi, yaani ukikumbuka nyuma ni ngumu kuitaja Chadema bila kumtaja Mdee lakini leo ni mamluki.
Chakushangaza zaidi kesho utasikia wako tena pamoja na wanatwambia hakuna adui wala rafiki wa kudumu ndani ya siasa.
Hata hivyo ninakaswali ka uzushi nachomekea tu, hivi jamani kwa mfano katika uchaguzi uliopita wangeshinda Mboe, Lema na Sugu pekeyao, mnadhani hawa majamaa wange susia bungeni? Yaani kuacha milioni 12 kilamwezi?
Nilichogundua hao wanawake wanaoneana wivu tu kwa nafasi hizo waliopo nje nao wanazitamani asikwaambie mtu unauzaje kukataa nafasi Kama hizo kipindi hiki kilkchokuwa na ajiraSiasa ni ya ajabu sana wakati hili linashangaza watu wengi, yaani ukikumbuka nyuma ni ngumu kuitaja Chadema bila kumtaja Mdee lakini leo ni mamluki.
Chakushangaza zaidi kesho utasikia wako tena pamoja na wanatwambia hakuna adui wala rafiki wa kudumu ndani ya siasa.
Hata hivyo ninakaswali ka uzushi nachomekea tu, hivi jamani kwa mfano katika uchaguzi uliopita wangeshinda Mboe, Lema na Sugu pekeyao, mnadhani hawa majamaa wange susia bungeni? Yaani kuacha milioni 12 kilamwezi?
Mbona Ruzuku alikuwa kila ikiingia anakata 50m , kuwa ni deni la chama alilokopesha chama ,wajinga ndo waliwaoUkitegemea siasa kama ajira matokeo yake ndio hayo ya kina mzee mdee!! Mbowe kafilisiwa lakini hakuunga mkono juhudi mkuu....Miaka mi3 hakupokea mshahara lakini alisurvive.....Kuwakataa kina mdee na wenzake 18 means hataki rudhuku ambazo hazipo kihaki....Hao uliowataja ni makonki hawawezi kurubunika kwa vipande 300 vya fedha ,hata shetani alitumtumia hawa ,mzee mdee na wenzake ni washirika wa shetani.