Hivi hamjaunganisha dots tu kwamba Israel ndiyo walimuua rais wa Iran Ibrahim Rais kwa kuangusha helkopter?

Hivi hamjaunganisha dots tu kwamba Israel ndiyo walimuua rais wa Iran Ibrahim Rais kwa kuangusha helkopter?

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Waisrael hawashindwi kitu wakiamua. Kama wameweza kumuulia kamanda wa hamas hukohulo iran itashindikana vipi kusema kwamba wao ndo waliangusha helkopter kwa technologia kubwa waliyonayo.

Jamani iran hamna secirity yaani security ni zero. Wasije wakawage war na Islael watapigwa kama mtoto.
 
Waislael hawashindwi kitu wakiamua. Kama wameweza kumuulia kamanda wa hamas hukohulo iran itashindikana vipi kusema kwamba wao ndo waliangusha helkopter kwa technologia kubwa waliyonayo.

Jamani iran hamna secirity yaani security ni zero. Wasije wakawage war na Islael watapigwa kama mtoto.
Kama hujui kuandika kiasi hiki ina maana hata unachokiandika kina akisi utupu wako kichwani.
 
Waislael hawashindwi kitu wakiamua. Kama wameweza kumuulia kamanda wa hamas hukohulo iran itashindikana vipi kusema kwamba wao ndo waliangusha helkopter kwa technologia kubwa waliyonayo.

Jamani iran hamna secirity yaani security ni zero. Wasije wakawage war na Islael watapigwa kama mtoto.
Hebu tueleze walimuuaje/waliangushaje helicopter,kuandika kwenyewe hujui,utakua mfuasi wa mwamposa
 
Hiyo inaeleweka.
Israel wasingiweza kusema hadharani kuwa wao ndio wamewaua Ebrahim Raisi na Waziri wake wa mambo ya nje.
Kwa sababu zinazoeleweka IRAN pia wasingeweza kutangaza kuwa RAIS wao ameuawa na Israel,ndani ya Nchi yao wenyewe!
Mnafunika kombe,mwanaharamu anapita.
Ila kimya kimya ukweli mnaujua.
 
Kwa matukio haya ya kurevange yaliyofanywa na Israel kuwa terminate viongozi wa kuu wa makundi hasimu ya hamasi na Hezbollah within a single night ni udhihirisho kabisa codes zinaanza kufunguka na ukikumbukwa ya kwamba walishatoa promise watalipiza kisasi mara baada ya Iran kurusha Yale makombora kipindi kile.
 
Wabongo ndo maana tunapigwa kila siku kwa kusaini mikataba ya kimangungo? Yani Israel inatangazwa na kuandikwa deile kila mahali kumbe kuna member hata spelling zake hajui na ana ujasiri wa kuanzisha uzi, sasa utaanalyze nini watu wakusome kama hata jina hujui?
 
Back
Top Bottom