Chambusiso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 2,592
- 4,640
Biblia inasema wokovu unatoka kwa wayahudi na kwa kiasi wameanguka ili sisi tupone so Mungu hajasahau watu wake aliowaita kwa jina lake. Mungu wa Ibrahim wa Isaka na wa Yakobo hilo ndilo jina lake milele.
Ibrahim, Isaka na Yakobo ni mizimu ya wayahudi, wana tofauti gani ya mizimu ya mwanakalundi, Mangungo, Kinjekitile, Mkapa, Nyerere na wa babu yako?