Kama hujui kuandika kiasi hiki ina maana hata unachokiandika kina akisi utupu wako kichwani.Waislael hawashindwi kitu wakiamua. Kama wameweza kumuulia kamanda wa hamas hukohulo iran itashindikana vipi kusema kwamba wao ndo waliangusha helkopter kwa technologia kubwa waliyonayo.
Jamani iran hamna secirity yaani security ni zero. Wasije wakawage war na Islael watapigwa kama mtoto.
But they dont believe in Jesus as you do. Why dont you follow them in despising JesusIsrael is a gender-neutral name of Hebreworigin. Derived from the Hebrew Yisrael, it means "God perseveres"
Hebu tueleze walimuuaje/waliangushaje helicopter,kuandika kwenyewe hujui,utakua mfuasi wa mwamposaWaislael hawashindwi kitu wakiamua. Kama wameweza kumuulia kamanda wa hamas hukohulo iran itashindikana vipi kusema kwamba wao ndo waliangusha helkopter kwa technologia kubwa waliyonayo.
Jamani iran hamna secirity yaani security ni zero. Wasije wakawage war na Islael watapigwa kama mtoto.
Chakula cha usikuIslae ndio kitu gani?🤮🤮
Ukimaanisha wali nyama au chapati marage mkuuChakula cha usiku
Hatuhtaji wao kumuamin Yesu ili kuelewa bible imesemaje kuhusu waoBut they dont believe in Jesus as you do. Why dont you follow them in despising Jesus
Sasa huoni walikengeukaHatuhtaji wao kumuamin Yesu ili kuelewa bible imesemaje kuhusu wao
Biblia inasema wokovu unatoka kwa wayahudi na kwa kiasi wameanguka ili sisi tupone so Mungu hajasahau watu wake aliowaita kwa jina lake. Mungu wa Ibrahim wa Isaka na wa Yakobo hilo ndilo jina lake milele.Sasa huoni walikengeuka