Chambusiso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 2,592
- 4,640
Biblia inasema wokovu unatoka kwa wayahudi na kwa kiasi wameanguka ili sisi tupone so Mungu hajasahau watu wake aliowaita kwa jina lake. Mungu wa Ibrahim wa Isaka na wa Yakobo hilo ndilo jina lake milele.
Chakula cha usiku
HaijalishiBut they dont believe in Jesus as you do. Why dont you follow them in despising Jesus
Sasa mizimu ya rangi ya poumbou manigger kazi kurogana tu na kunya porini.Ibrahim, Isaka na Yakobo ni mizimu ya wayahudi, wana tofauti gani ya mizimu ya mwanakalundi, Mangungo, Kinjekitile, Mkapa, Nyerere na wa babu yako?
Hawana tofauti ila pia uzur ni wewe tu unajichagulia katika siku zako hapa dunian ni mzimu upi ungependelea hadithi zakeIbrahim, Isaka na Yakobo ni mizimu ya wayahudi, wana tofauti gani ya mizimu ya mwanakalundi, Mangungo, Kinjekitile, Mkapa, Nyerere na wa babu yako?
Wao itakuwa ndo walitengeneza ukungu?Waisrael hawashindwi kitu wakiamua. Kama wameweza kumuulia kamanda wa hamas hukohulo iran itashindikana vipi kusema kwamba wao ndo waliangusha helkopter kwa technologia kubwa waliyonayo.
Jamani iran hamna secirity yaani security ni zero. Wasije wakawage war na Islael watapigwa kama mtoto.