Nyaka-One
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 4,730
- 6,736
Hivi muda huo utakapowadia hao mabikra 72 tulioahidiwa nitakuwa nao kwa utashi wangu au kwa lazima? Kama ni kwa utashi wangu ikitokea mimi sihitaji bikra yoyote au nahitaji mmoja tu miongoni mwa hao 72 niliokabidhiwa, hao wengine watakaobaki watakabidhiwa kwa nani kwa kuzingatia kuwa tayari kila mwanaume alishaandaliwa idadi yake kamili ya kumtosha? Au watakaobaki watakabidhiwa kwa wapenda ngono zaidi?
Na kama kila mwanaume atakaekwenda mbinguni atapewa mabikra 72 kumaanisha kuwa kuwa kila mwanamke hatakosa mwanaume kwa kuchangia mwanamme mmoja na wake wenza 71 ni sahihi kusema kuwa uwiano wa wanaume na wanawake watakaokwenda mbinguni ni 1:72?
Yaani kama wakiingia wanaume 1,000,0000 wanawake watakuwa 72,000,000 na kufanya jumla yao wote kuwa 73,000,000.
Na kwa vile kwa mahesabu hayo inaonyesha watakaoingia wengi zaidi mbinguni ni wanawake kuliko wanaume ni nini hasa zinaweza kuwa sababu za wanawake ndiyo wawe wametenda mema katika hii dunia na hatimaye kuwawezesha kuingia mbinguni kwa idadi kubwa zaidi ya sisi wanaume?
Naomba ilimu.