Hivi hapa Dar kuna sehemu inatoa starehe kama hizi?

Kuna watu huwa wanajikuta ni watakatifu mno yakija masuala ya ngono na wanaiona kama ni laana hivi ila hao hao unakuta ni wasengenyaji wakubwa mno mpaka unashikwa na bumbuwazi. Haya maisha kila mtu ana fantasies zake, kuna dada mmoja niliwahi kuzungumza nae akanambia yeye fantasy yake ni kusagana ila hapati tu mtu wa hivyo. Sikumshangaa wala kustaajabu.
 
Dogo Utakuwa umeangalia documentary
 
Kama una hela saidia wenzako utakumbukwa na kuweka akiba ya baadae. Uzinzi haunaga mwisho mzuri....lazima ukutane na mabaya,it's a karma too.
 
Bongo bado hizi mambo..tunajifanya tuna dini..kumbe yanayofanyika gizani..ni mabaya kuliko hayo...unafiki ndio ulio tujaa

#MaendeleoHayanaChama
Mkuu kwani uongo!

Kuna mashehe, wachungaji na wafia dini kibao waliokufa kwa presha juu ya vinena vya malaya wakizini.

Ukiona mtu anakemea sana jambo fulani, ukimfuatilia utakuta ye'mwenyewe ni teja wa jambo hilo hilo, ila kukemea kwake maana yake ili msiwe wengi, ama wengine wanaweza kulifanya jambo hilo kwa ustadi na umahiri mkubwa kuliko yeye.

Mungu huwa anawaumbua sana wanafiki, katikati ya tendo, ziraili anapita na roho yake, mnabaki mnashangaa msiamini yaliyotokea!
 
Kwa hiyo mzee ukajipinda huku wengine wakiwachora.

Ama na wewe ulipoingia humo ukakuta njemba zingine zinafanya wazi wazi na wewe ikufanya mzuka upande kinyama?
 
Dar sijuiii maeneo ya kimara bonyokwa
 
Inawezekana kwa dsm tena kwa siri sana sehemu za kifahari na kumetulia wanaweza kuwa na ishu izo coz ni biashara na wadau wapo wenye pesa zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…