Autodidacts
JF-Expert Member
- Jun 9, 2021
- 1,165
- 1,804
Kwa hiyo unajinasibu kuwa wewe ni danga-dube na unataka madanga-dube wenzio ndio pekee wachangie?(Mirembe case)🤔Jamaa kishaweka angalizo Kama Mlokole (Hayakuhusu) pita kushoto😂😘😍. Ni sawa na mlokole anaejua Kimboka Bar kuna madanga, halafu anakwenda kunywa soda, anakuja mdada kushawishi huduma anarusha ngumi😝🧐🥰. Tuzingatie maelekezo!!!
Sasa bora ungewafuata uko uko Kimboka au uwanja wa fisi na uweke mkutano wa hadhara muongelee ukahaba wenu uko km hutaki watu wenye fikra tofauti!?🤔
Uchafu wako peleka kwa wachafu maana hapa jukwaani tupo mchanganyiko...wasafi na wachafu,tunashindana kwa hoja😷