Hivi hapa Dar kuna sehemu inatoa starehe kama hizi?

nawewe ukishaingia tu unavua nguo zako zote unakua uchi kama wao!!
 
kuna sehem niliambiwa ipo upanga pembeni ya kanisa la orthodox pale ila ni members club tu matajili wa mjini ndio wanakunywa bia hapo
 

Zipo nyingi kuna moja kiingilio tuu ni 20000/=
 
Kama unayo pesa nenda Pattaya Thailand.
 
Humu Kuna mijitu inajiona mitakatifu,kuliko hata Jesus na Muhammad ( S.a.w),jamaa Katia hoja,nyie mnamuona shetaaaani mkubwa,kwani nyie mna utakatifu gani,hamzini,hamna michepuko,hamtendi dhambi?.acheni lingo lingo aisee[emoji34][emoji34]
 
Sehemu zipo ila utahitaji connection kubwa sana mpaka kuzipata na kuingia. Maana ili uweze kuingia kabla ya kutoa pesa zako na kila kitu ni lazima wajiridhishe na usiri wako.
 
Kwa ufupi hayo majumba ndio tunaita Madanguro, sema hilo la kwako lakufikirika sana ila madanguro yapo toka uhuru tulikuwa tunaita mabanda ya wahaya Ndluuuki
 
Kajiunge Freemasons, ibada zao uchi kama unavyotaka na Kuna muda wa kugegedana na yeyote unayemtaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ