Hivi hapa Mrembo By Nature atakuwa anawaza nini?

Hivi hapa Mrembo By Nature atakuwa anawaza nini?

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,443
shutterstock_34953322.jpg


Hivi hapa Mrembo by Nature atakuwa anawaza nini?

1-je amefumania?

2-Je amefumaniwa?

3-Je Ameunguza chakula cha mpenzi wake?

4-Je ame-miss tarehe za period sasa anahisi ana mimba?

5-Je amelikoroga kwa mpenzi wake sasa anawaza atalinywa vipi?
 
Last edited by a moderator:
Hapo ni kama amekuwa-suprised baada ya mm tedo kumuonyesha pete ya uchumba...
 
Last edited by a moderator:
Kaonyeshwa dudu ya ukweli.....haamini kama itaiweza kunanihii na yeye alizoea kibamia kwa ex wake.
 
Haamini macho yake maana baada ya kutangaza kuachana na kidumu chake Mentor angepata PM nyingi kiasi hicho.
saudari hayo matangazo ya chit chat tu..huoni usoni ana katabasamu kalainiii usoni...!!!
Mrembo by Nature baby, this long weekend is dedicated to you sweetheart..where art thou, honey pie!??
 
Last edited by a moderator:
shutterstock_34953322.jpg


Hivi hapa Mrembo by Nature atakuwa anawaza nini?

1-je amefumania?

2-Je amefumaniwa?

3-Je Ameunguza chakula cha mpenzi wake?

4-Je ame-miss tarehe za period sasa anahisi ana mimba?

5-Je amelikoroga kwa mpenzi wake sasa anawaza atalinywa vipi?

Hahahaha siamini kama kipenzi chaangu, tikiti la moyo wangu, sweet heart lotion wangu Mentor amerudi na kuamua kuachana na vidumu vyake vyoote.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom