Hivi hapa Mrembo by Nature atakuwa anawaza nini?
1-je amefumania?
2-Je amefumaniwa?
3-Je Ameunguza chakula cha mpenzi wake?
4-Je ame-miss tarehe za period sasa anahisi ana mimba?
5-Je amelikoroga kwa mpenzi wake sasa anawaza atalinywa vipi?
Yaweza kuwa eh?
huoni kama ana Big smile usoni
haamini kama amepata mchumba Chit Chat anadhani ni ndoto baada ya kuulizwa Will you marry me Mrembo by Nature
saudari hayo matangazo ya chit chat tu..huoni usoni ana katabasamu kalainiii usoni...!!!Haamini macho yake maana baada ya kutangaza kuachana na kidumu chake Mentor angepata PM nyingi kiasi hicho.
talaka ???????????wewe huoni tabasamukapewa talaka
talaka ???????????wewe huoni tabasamu