Hivi hatuwezi kucheza upatu hapa JF jamani?

Hivi hatuwezi kucheza upatu hapa JF jamani?

umeniwahi!!!!!!!!!!
na nilihisi tuuuu!!! ila utakufaa ukijumbe!!!!

Hahaha Paloma.
Hv upo kweli mpenzi!
Mie nautaka kweli huo ukijumbe, sijawaingiza chaka watu mda mrefu.

Afu nimeongea na yule mdau mwenzetu, lile sheshe ni April.
Rejea safari ya Mbezi toka kwenye upishi wa mandazi.
 
Last edited by a moderator:
Halafu Baba V nimepata taarifa zako za kumzengea Madame B.Tuheshimiane

Kama huaminiki kwenye mambo ya ndoa huwezi kuaminika kwenye suala la hela zetu...

Kweli ukipenda chongo utaita Kengeza, hao wengine wote wanaommega huwaoni ila unataka kuniandama mimi nisiye na wazo..
 
Last edited by a moderator:
nakumbuka mama abuduli wa mchezo wa itv
miaka hiyo kabla haujazaliwa alipata heka heka
ya kutosha kutokana na kuwa kijumbe
dah, naona nikuachie tu mimi nitakuwa memba
wa kawaida tu, tena heka heka siziwezi kabisa.

Mamndenyi umepitia chuo cha Karate mpaka unataka ukijumbe?
Una pensi nyanya za kutosha kabatini kwako?
Au una viungo vya spea?
Ukijumbe si mchezo.
Ukifanya mchezo,unaweza uhame mji.
 
Kweli ukipenda chongo utaita Kengeza, hao wengine wote wanaommega huwaoni ila unataka kuniandama mimi nisiye na wazo..

Sio huna wazo, wazo unalo sana, sema unajikosha tu.
 
nakumbuka mama abuduli wa mchezo wa itv
miaka hiyo kabla haujazaliwa alipata heka heka
ya kutosha kutokana na kuwa kijumbe
dah, naona nikuachie tu mimi nitakuwa memba
wa kawaida tu, tena heka heka siziwezi kabisa.

Ndo mana nikakupa tahadhari mapema tu.
Kama una viungo vya spea karibu tushirikiane.
Enzi ya kina mama Abdul mie niko kwenye ndoa ya 3,afu unasema sijazaliwa!
Unan'tafuta ubaya.
 
Back
Top Bottom