Hivi hawa Act wazalendo wana nia thabiti ya kuimarisha upinzani? Au ndio wanatumika kudidimiza ? Kila siku purukushani zisizoeleweka.

Hivi hawa Act wazalendo wana nia thabiti ya kuimarisha upinzani? Au ndio wanatumika kudidimiza ? Kila siku purukushani zisizoeleweka.

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Mara hawagati kwanza katiba mpya. Mara wanataka tume kwanza mara wanataka vyote
20220618_164604.jpg
20220618_164548.jpg
 
Hawa Watu Shida Sana Hasa Ukizingatia Mama Amewachongea Mizinga Wanalamba Asali Tu Taratibu Sana

Tanzania saivi hamna chama cha upinzani ambacho kitaweza kutukomboa tena.kilikuwepo kimoja ambacho kiliaminiwa na wengi lakini naona hakina ajenda na mwelekeo tena.kimepoa gafra hadi tunauliza wamelishwa amini gani.
 
Back
Top Bottom